75. (1) Kutakuwa na aina zifuatazo za Wilaya za
CCM:-(a) W ilaya zilizoundwa katika maeneo ya Kijiografia. (b) Wilaya Maalumu za Vyuo vya
Elimu ya Juu, ambazo zitaundwa baada ya kupata idhini ya Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa. Aina za Wilaya za CCM Katibu wa Uchumi na Fedha wa Jimbo
(2) Kutakuwa na Vikao vya CC M vifuatavyo katika kila Wilaya:-(1) Mkutano Mkuu wa C CM wa
W ilaya.
(2) Halmashauri Kuu ya CCM ya W ilaya.
(3) Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya CCM ya Wilaya. (4) Sekretarieti ya H almashauri
Kuu ya CCM ya Wilaya. (5) Kamati ya Madiwani wote wa
CCM.
76. (1) Mkutano Mkuu wa CCM wa W ilaya utakuwa na wajumbe wafuatao:-(a) Mwenyekiti wa CCM wa Wilaya. (b) Katibu wa CCM wa Wilaya. (c ) Wajumbe wa Halmashauri Kuu
ya Taifa nafasi za W ilaya, na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taif a wa aina nyingine wanaoishi katika wilaya hiyo. (d) Mkuu wa W ilaya ambaye
anatokana na CCM.
(e) Katibu wa Siasa na Uenezi wa Wilaya.
(f ) Katibu wa Uchumi na Fedha wa W ilaya.
(g) Mbunge au W abunge wanaotokana na CCM, wanaowakilisha Majimbo yaliyomo katika Wilaya hiyo, na
Vikao vya CCM vya Wilaya Mkutano Mkuu wa CCM wa Wilaya
W abunge wa aina nyingine wanaoishi katika Wilaya hiyo. (h) W awakilishi wanaotokana na
CCM, wanaowakilisha Majimbo yaliyomo katika Wilaya hiyo, na Wawakilishi wa aina nyingine wanaoishi katika W ilaya hiyo. (i) W ajumbe wote wa Mkutano
Mkuu wa CCM wa Taifa waliochaguliwa na Mkutano Mkuu wa CCM wa Wilaya hiyo. (j) Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM ya Mkoa wanaoishi katika Wilaya hiyo.
(k) Mwenyekiti na Katibu wa W ilaya wa kila jumuiya ya wananchi inayoongozwa au iliyojishirikisha na CCM, na mjumbe mwingine mmoja ambaye ni mwanachama wa CCM aliyechaguliwa na kila Jumuiya inayohusika iliyomo katika W ilaya hiyo.
(l) W ajumbe wote ambao ni wanachama wa CCM kutoka kila J umuiya ya W ananc hi
inayoongozwa au iliyojishiri-kis ha na C C M wanao-wakilisha Jumuiya hizo katika Mkutano Mkuu wa CCM wa Taifa wanaoishi katika W ilaya hiyo.
(m) Madiwani wanaotokana na CCM wanaowakilisha Kata/ W adi zilizomo katika W ilaya husika na Madiwani wa CCM wa aina nyingine wanaoishi katika W ilaya hiyo.
(n) Meya wa Manis paa au Mwenyekiti wa Halmashauri ya W ilaya anayetokana na CCM.
(o) W enyeviti na Makatibu wa CCM wa kila Kata ya W ilaya hiyo.
(p) Makatibu wa Siasa na Uenezi wa Kata/Wadi za W ilaya hiyo. (q) Makatibu wa U chumi na Fedha wa Kata/W adi za W ilaya hiyo.
(r) W ajumbe kumi walioc ha-guliwa na Kila Kata ya W ilaya hiyo.
(s ) Mjumbe mmoja aliyechaguliwa na Mkutano Mkuu wa kila Tawi la W ilaya hiyo.
(t) W enyeviti wote wa CCM wa Matawi katika Wilaya hiyo. (u) Makatibu wote wa CCM wa
Matawi katika Wilaya hiyo. (v) Makatibu wa Siasa na Uenezi
wote wa Matawi ya CC M yaliyomo katika W ilaya hiyo. ( w ) Makatibu wa U chumi na
Fedha wote wa Matawi yaliyomo katika W ilaya hiyo. (x) W ajumbe wengine wote wa
Mkutano Mkuu wa Mkoa wanaoishi katika W ilaya hiyo.
(y) W ajumbe wengine wa Mkutano Mkuu wa W ilaya ni hawa waf
uatao:-- W enyeviti na Makatibu wote wa C CM wa Majimbo. - Makatibu wa Siasa na Uenezi wa Majimbo. - Makatibu wa U chumi na Fedha wa Majimbo.
- W enyeviti na Makatibu wa Majimbo wa Jumuiya zinazoongozwa na CCM. - W ajumbe wa Mkutano Mkuu wa W ilaya na Mkoa kupitia kila Jimbo linalohusika.
(2) Mkutano Mkuu wa W ilaya ndicho kikao kikuu cha CCM katika Wilaya. (3) Madiwani wote wanaotokana na CCM kwa pamoja watakuwa Kamati ya Madiwani wa CCM ambayo kazi yake itakuwa ni kusimamia kwa jumla utekelezaji wa ilani ya CCM na siasa ya CCM katika shughuli zote zinazoendeshwa na Halmashauri za W ilaya, pamoja na kutekeleza kazi nyingine ambazo zimeainishwa katika kanuni zake zinazohusika. Vikao vya Kamati hii vitafanyika kwa mujibu wa Kanuni zake zinazohusika. Kwa upande wa W ilaya za Zanzibar, kwa kuwa W ilaya hizo zina W abunge wengi pamoja na W awakilishi wengi wanaotokana na CCM wanaowakilisha Majimbo ya Uchaguzi yaliyomo katika W ilaya husika, pamoja na W abunge na W awakilishi wa aina nyingine wanaois hi katika W ilaya hiyo, utaratibu utakuwa kwamba
W abunge wanaohusika wata-c hagua wajumbe wawili kutoka miongoni mwao; na W awakilis hi wanaohusika pia watac hagua wajumbe wawili kutoka miongoni mwao, ambao ndio watakuwa W ajumbe wa Kamati ya Madiwani wote wa CCM katika Halmashauri inayohusika.
(4) Mkutano Mkuu wa Wilaya utafanya mikutano yake ya kawaida mara moja kila mwaka, lakini unaweza kukutana wakati wowote endapo itatokea haja ya kufanya hivyo au kwa maagizo ya vikao vya juu. (5) Mwenyekiti wa CC M wa W ilaya
ataongoza Mkutano Mkuu wa CCM wa W ilaya; lakini Mwenyekiti asipoweza kuhudhuria Mkutano utamc hagua mjumbe mwingine yeyote miongoni mwao kuwa Mwenyekiti wa muda wa Mkutano huo.
77. Kazi za Mkutano Mkuu wa CCM wa W ilaya zitakuwa
zifuatazo:-(1) Kupokea na kujadili taarifa ya kazi za CCM iliyotolewa na Halmashauri Kuu ya CCM ya W ilaya, na kutoa maelekezo ya utekelezaji wa Siasa ya CCM kwa kipindi kijacho. Kazi za
Mkutano Mkuu wa CCM wa Wilaya
(2) Kuhakikisha kwamba maazimio na maagizo ya ngazi za juu yanate-kelezwa ipasavyo.
(3) Kuzungumzia mambo yote yanayohusu ulinzi na usalama na maendeleo kwa jumla katika Wilaya. (4) Unapofika wakati wa uchaguzi
Mkutano Mkuu wa CCM wa Wilaya utashughulikia mambo yafuatayo:-(a) Kumchagua Mwenyekiti wa
CCM wa Wilaya.
(b) Kuwachagua W ajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa wa nafasi za W ilaya, mmoja (1) kwa kila W ilaya ya Tanzania Bara; na sita (6) kwa kila Wilaya ya Zanzibar.
(c ) Kuwachagua W ajumbe kumi kuingia katika Halmashauri Kuu ya CCM ya Wilaya.
(d) Kuwachagua Wajumbe wawili kuhudhuria Mkutano Mkuu wa CCM wa Mkoa.
(e) Kuwachagua Wajumbe watano kuhudhuria Mkutano Mkuu wa CCM wa Taifa.
(5) Kuunda Kamati za Mkutano Mkuu wa CCM wa W ilaya kwa kadri itakavyoonekana inafaa.
(6) Mkutano Mkuu wa W ilaya waweza kukasimu madaraka yake kwa Halmashauri Kuu ya Wilaya kuhusu
utekelezaji wa kazi zake kwa kadri utakavyoona inafaa.
78. (1) Halmashauri Kuu ya CCM ya W ilaya itakuwa na wajumbe wafuatao:-(a) Mwenyekiti wa C CM wa
W ilaya.
(b) Katibu wa CCM wa Wilaya. (c ) Mjumbe au W ajumbe wa
Halmashauri Kuu ya Taifa wa Wilaya hiyo.
(d) Mkuu wa W ilaya ambaye anatokana na CCM.
(e) Katibu wa Siasa na Uenezi wa W ilaya.
(f ) Katibu wa Uchumi na Fedha wa W ilaya.
(g) Mbunge au W abunge wanaotokana na CC M wanaowakilis ha Majimbo yaliyomo katika Wilaya husika, na W abunge wa aina nyingine wanaoishi katika W ilaya hiyo.
(h) W awakilishi wanaotokana na CCM wanaowakilisha Jimbo husika, na W awakilishi wa aina nyingine wanaoishi katika W ilaya hiyo.
Halmashauri Kuu ya CCM ya Wilaya
(i) W ajumbe kumi walioc ha-guliwa na Mkutano Mkuu wa CCM wa Wilaya.
(j) Mwenyek iti, Kat ibu wa W ilaya na Mjumbe mmoja ambao ni wanachama CCM kut oka kila J um uiya ya W an anc h i in ayo- ongozwa au iliyojishirikisha na CCM iliyopo W ilayani wanaowa-kilisha Jumuiya hiyo kwenye Mkutano Mkuu wa CCM wa W ilaya.
(k) W enyeviti wa C C M wa Majimb o yaliyomo kati ka W ilaya hiyo.
(l) Mak atib u wa C C M wa Majimb o yaliyomo kati ka W ilaya hiyo.
(m) Makati bu w a Si as a na uenezi wa Majimbo yaliyomo katika W ilaya hiyo.
(n ) Mak atib u wa uc h umi na Fedha wa Majimbo yaliyomo katika wilaya hiyo.
( o) W enyeviti wa CCM wa Kata/ W adi zilizomo katika W ilaya hiyo.
(p ) Makatibu wa CCM wa Kata/ W adi zilizomo katika W ilaya hiyo.
(q) Makatibu wa Siasa na Uenezi wa C C M wa Kata/W adi zilizomo katika W ilaya hiyo. (r) Makatibu wa CCM wa Uchumi
na Fedha wa Kata/W adi zilizomo katika W ilaya hiyo. (s ) Mwenyekiti wa Halmashauri
ya Mji, Manispaa au Mwe-nyekiti wa Halmashauri ya W ilaya hiyo anayetokana na CCM.
(t) Madiwani wanaotokana na CCM wanaowakilisha Kata/ W adi zilizomo katika W ilaya husika, na Madiwani wa aina nyingine wanaois hi katika W ilaya hiyo.
(u) W ajumbe wengine wote wa Halmashauri Kuu ya CCM ya Mkoa wanaois hi katika W ilaya hiyo.
(v) W ajumbe wengine wa Halmashauri Kuu ya W ilaya wanaopatikana kwa mujibu wa kifungu 79 (9) (g).
(2) Halmashauri Kuu ya CCM ya Wilaya itafanya mikutano yake ya kawaida mara moja kila baada ya miezi mitatu. Lakini inaweza kufanya mkutano usiokuwa wa kawaida wakati wowote endapo itatokea haja ya kufanya hivyo.
(3) Mkutano wa Halmashauri Kuu ya W ilaya utakaofanyika katika kipindi cha miezi sita ya kwanza ya kila mwaka utakuwa pia na Kazi Maalum ya kupokea na kujadili Taarifa ya U tekelezaji wa Ilani ya CC M unaofanywa na mamlaka za Serikali za Mitaa katika Wilaya hiyo, katika mwaka wa Fedha uliopita wa mamlaka hizo, uliomalizika tarehe 31 Desemba ya mwaka unaohusika. Isipokuwa kwamba kwa Halmashauri ya Jiji, ambalo mipaka yake inaunganisha Wilaya zaidi ya moja, Taarifa zake zitapokelewa na kujadiliwa na H almas hauri Kuu ya Mkoa unaohusika na Mamlaka hiyo. (4) Mwenyekiti wa CC M wa W ilaya
ataongoza Mkutano wa Halmashauri Kuu ya C CM ya W ilaya, lakini Mwenyekiti asipoweza kuhudhuria, Katibu wa CCM wa Wilaya atakuwa
Mwenyekiti wa muda wa Mkutano huo.
79. Kazi za Halmashauri Kuu ya CCM ya Wilaya zitakuwa
zifuatazo:-(1) Kuongoza na kusimamia ujenzi wa Ujamaa na Kujitegemea katika eneo la Wilaya.
(2) Kusimamia Uenezi wa Itikadi na Siasa ya CCM na kueleza mipango ya CCM kwa Kata/W adi na Majimbo yote ya W ilaya, na kubuni mbinu zinazofaa za kuimarisha CCM katika W ilaya.
(3) Kupanga mikakati ya kampeni za uchaguzi na kampeni nyinginezo katika Wilaya.
(4) Kutoa msukumo wa utekelezaji wa Ilani ya C CM na kus imamia utekelezaji wa Siasa na Maazimio ya CCM kwa jumla.
(5) Kuona kwamba s hughuli za maendeleo ya Ulinzi na Usalama zinazingatiwa katika W ilaya. (6) Kuziongoza Halmashauri Kuu za
C CM za Kata zote upande wa Tanzania Bara; na za W adi na Majimbo upande wa Zanzibar, Kazi za
Halmashauri Kuu ya CCM ya Wilaya
kuhusu njia zinazofaa za kuimarisha CCM na kuleta maendeleo W ilayani. (7) Kuangalia mwenendo na vitendo vya wanachama pamoja na viongozi wa CCM katika W ilaya na inapolazimu kutoa taarifa kwa vikao vinavyohusika.
(8) Kuf ikisha kwenye Kata, W adi, Jimbo maazimio na maagizo ya vikao vya juu na kufikisha kwenye Vikao vya juu mapendekezo kutoka kwenye Kata/JW adi na Jimbo. (9) U napofika wakati wa uc haguzi,
Halmashauri Kuu ya CCM ya W ilaya itashughulikia mambo yafuatayo:-(a) Kuwachagua kutoka miongoni
mwao W ajumbe watano kwa W ilaya za Tanzana Bara, na watatu kwa W ilaya za Zanzibar kuingia katika Kamati ya Siasa ya Halma-shauri Kuu ya W ilaya. (b) Kwa W ilaya za Zanzibar,
kuchagua W ajumbe wawili (2) kutoka miongoni mwa W ajumbe wa H almas hauri Kuu ya Taifa wa Wilaya hiyo, kuingia katika Kamati ya Siasa ya W ilaya.
(c ) Kwa W ilaya za Zanzibar, kuchagua W abunge wasi-ozidi watano kutoka miongoni
mwa W abunge tokana na CC M wanao-wakilis ha Majimbo ya U chaguzi yaliyomo katika W ilaya inayohusika, pamoja na W abunge wa aina nyingine wanaoishi katika Wilaya hiyo; wa kuingia katika Kamati ya Siasa ya Wilaya. (d) Kwa W ilaya za Zanzibar,
kuchagua W awakilishi wasi-ozidi watano kutoka miongoni mwa W awakilishi tokana na CC M wanao-wakilis ha Majimbo ya U chaguzi yaliyomo katika W ilaya inayohusika, pamoja na W awakilis hi wa aina nyingine wanaoishi katika Wilaya hiyo; wa kuingia katika Kamati ya Siasa ya Wilaya. (e) Kumchagua Katibu wa Siasa
na Uenezi wa C CM wa W ilaya.
(f ) Kumchagua Katibu wa Uchumi na Fedha wa CCM wa W ilaya.
(g) Kuwac hagua wanachama wasiozidi watatu wa Halma-shauri Kuu ya CCM ya W ilaya
kutokana na mapendekezo ya Mwenyekiti wa CCM wa Wilaya. (h) Kufikiria na kufanya uteuzi wa mwisho wa wanachama wanaoomba Uenyekiti na U katibu wa C C M wa Tawi, Ukatibu wa Siasa na Uenezi wa Tawi, Ukatibu wa Uchumi na Fedha wa Tawi, Ujumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM ya Kata/W adi, U enyekiti wa Mtaa,U jumbe wa Kamati ya Mtaa, Uenyekiti na Ujumbe wa Halmashauri ya Kijiji.
(i) Kufanya uteuzi wa mwisho wa majina ya wanachama wa CCM watakaosimama katika ucha-guzi wa Mwenyekiti na Katibu wa Kata na Jimbo kwa upande wa Zanzibar wa kila Jumuiya ya Wananchi inayoongozwa na C CM na Ujumbe wa kuiwa-kilisha kila Jumuiya katika vikao vya CCM vya Kata na Majimbo katika W ilaya inayohusika. (10) Kujaza kwa niaba ya Mkutano Mkuu wa
CCM wa W ilaya nafasi za Uongozi zinazokuwa wazi isipokuwa ya Mwenyekiti wa CCM wa Wilaya.
(11) Kupokea, kuzingatia na kuamua juu ya mapendekezo ya vikao vya CCM vilivyo chini yake.
(12) Kuunda Kamati Ndogo za Utekelezaji kama itakavyoonekana inafaa kwa ajili ya utekelezaji bora zaidi wa kazi za CCM katika W ilaya. Isipokuwa kwamba Halmashauri Kuu ya W ilaya itaunda Kamati Ndogo kwa kila Jimbo la Uc haguzi wa W abunge/ W awakilishi lililomo katika W ilaya hiyo, ambayo itaitwa Kamati ya J imbo. Kamati hiyo itakuwa na Wajumbe wote wa Halmashauri Kuu ya W ilaya wanaotoka katika Jimbo la Uchaguzi linalohusika, na itakuwa na uwezo wa kuchaguaMwenyekiti na Katibu wake. Kazi kubwa ya Kamati ya J imbo la Uc haguzi itakuwa ni kubuni mbinu za kuimarisha Chama katika Jimbo hilo, pamoja na kupanga mikakati inayofaa ya Kampeni za uchaguzi kwa lengo la kuipatia CCM ushindi. (13) Kupokea na kujadili taarifa za utekelezaji wa Kazi za CCM za W ilaya na Kamati ya Madiwani wa CCM wa W ilaya.
(14) Kumwac hisha au kumf ukuza uongozi Mwenyekiti au Katibu wa CCM wa Tawi.
(15) Kuunda Kamati ya U s alama na Maadili ya CCM ya Wilaya. (16) Halmashauri Kuu ya W ilaya yaweza
kukas imu madaraka yake kwa Kamati ya Siasa ya Wilaya kuhusu utekelezaji wa kazi zake kwa kadri itakavyoona inafaa.
80. (1) Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya CC M ya W ilaya itakuwa na wajumbe
wafuatao:-(a) Mwenyekiti wa CCM wa Wilaya.
(b) Katibu wa CCM wa Wilaya. (c ) Kwa Wilaya za Tanzania Bara,
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa wa Wilaya hiyo. Kwa W ilaya za Zanzibar zenye W ajumbe wengi, W ajumbe wawili (2) kutoka miongoni mwao, waliochaguliwa na Halmashauri Kuu za W ilaya hiyo.
(d) Mkuu wa W ilaya ambaye anatokana na CCM. Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya CCM ya Wilaya
(e) Katibu wa Siasa na Uenezi wa W ilaya;
(f) Katibu wa Uchumi na Fedha wa W ilaya.
(g) Mbunge au Wabunge wanao-tokana na CCM. wanaowakilisha W ilaya hiyo au Wabunge wa aina nyingine wanaoishi katika Wilaya hiyo. (h) Kwa W ilaya za Zanzibar,
W abunge wasiozidi watano kutoka miongoni mwa W abunge wanaotokana na CCM wanaowakilisha Majimbo ya Uchaguzi yaliyomo katika W ilaya inayohusika, pamoja na Wabunge wa aina nyingine wanaoishi katika Wilaya hiyo.
(i) Kwa W ilaya za Zanzibar, W awakilishi wasiozidi watano kutoka miongoni mwa Wawakilishi wanaotokana na CCM wanao-wakilisha Majimbo ya Uchaguzi yaliyomo katika Wilaya inayohusika, pamoja na W awakilishi wa aina nyingine wanaoishi katika Wilaya hiyo.
(j) W ajumbe waliochaguliwa na Halmashauri Kuu ya CCM ya Wilaya kuingia katika Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya CCM ya W ilaya watano kwa W ilaya za Tanzania Bara na watatu kwa Wilaya za Tanzania Zanzibar.
(k) Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji, Manispaa au Mwenyekiti wa Halmashauri ya W ilaya hiyo anayetokana na CCM. (l) Mwenyekiti wa W ilaya wa kila
J umuiya ya W ananchi inayoongozwa na CCM iliyomo katika W ilaya hiyo.
(m) Mwenyekiti na Katibu wa Kamati ya Madiwani wa CCM. (2) Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu
ya W ilaya itafanya mikutano yake ya kawaida mara moja kwa mwezi. (3) Mwenyekiti wa CC M wa W ilaya
ataongoza Mkutano wa Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya CCM ya W ilaya. Lakini Mwenyekiti asipoweza kuhudhuria Katibu wa CCM wa W ilaya atakuwa Mwenyekiti wa muda wa Mkutano huo.
81. Kazi za Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya C CM ya W ilaya zitakuwa
zifuatazo:-(1) Kutoa uongozi wa Sias a katika W ilaya.
(2) Kusimamia utekelezaji wa shughuli za kila siku za CCM W ilayani chini ya uongozi wa Halmashauri Kuu ya CCM ya Wilaya.
(3) Kueneza Itikadi ya CC M katika W ilaya.
(4) Kuandaa mikakati ya kampeni za uchaguzi na kampeni nyinginezo. (5) Kupanga mipango ya kukipatia
Chama mapato, kusimamia kwa dhati utekelezaji wa mipango hiyo, kudhibiti mapato na kusimamia matumizi bora ya fedha na mali za Chama katika Wilaya.
(6) U napofika wakati wa uc haguzi, Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya CCM ya W ilaya itashughulikia mambo
yafuatayo:-(a) Kufikiria na kutoa mapendekezo yake kwa Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya CCM ya Mkoa juu ya wanachama wanaoomba nafasi za uongozi wa CCM kupitia Wilaya hiyo. Kazi za Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya CCM ya Wilaya
(b) Kuf ikiria na kutoa mapendekezo yake kwa Halmashauri Kuu ya CCM ya W ilaya juu ya wanac hama wanaoomba Uenyekiti na Ukatibu wa C CM wa Tawi; Ukatibu wa Siasa na Uenezi wa Tawi, Ukatibu wa Uchumi na Fedha wa Tawi; Ujumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM ya Kata/W adi; Uenyekiti wa Mtaa, Uenyekiti na Ujumbe wa Halmashauri ya Kijiji. (c ) Kuf ikiria na kutoa
mapendekezo yake kwa Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya CCM ya Mkoa juu ya W anachama wanaoomba Uenyekiti na Ukatibu wa CCM wa Jimbo; Katibu wa Siasa na Uenezi wa Jimbo; Katibu wa Uchumi na Fedha wa Jimbo; Ujumbe wa Mkutano Mkuu wa Jimbo, W ilaya na Mkoa, Ujumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM ya Jimbo, Uenyekiti na Ukatibu wa CC M wa Kata/W adi, Katibu wa Siasa na Uenezi wa Kata/W adi; Katibu wa
Uchumi na Fedha wa Kata/ W adi na wagombea Udiwani wa CC M kwa mujibu wa sheria zilizopo za uchaguzi wa Serikali za Mitaa. (d) Kufikiria na kutoa mapendekezo
yake kwa Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya CCM ya Mkoa, juu ya W anachama wanaoomba nafasi za Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya na Mji, Meya na Naibu Meya wa Manispaa zilizomo katika Mkoa huo na wanachama wanaoomba nafasi za Ubunge na Uwakilishi.
(e) Kufikiria na kutoa mapendekezo yake kwa Halmashauri Kuu ya Wilaya juu ya wanachama wa CCM wanaoomba Uenyekiti na Ukatibu wa Kata na Jimbo kwa upande wa Zanzibar wa kila Jumuiya ya Wananchi inayo-ongozwa na CCM na wanaoomba Ujumbe wa kuiwakilisha kila Jumuiya katika vikao vya CCM vya Kata na Majimbo katika Wilaya inayohusika.
(f ) Kuf ikiria na kutoa mape-ndekezo yake kwa Kamati ya Siasa ya Mkoa juu ya wanachama wa Jumuiya za C CM wanaoomba kuwa W ajumbe wa Mkutano Mkuu wa CC M wa Mkoa na kuwakilisha Jumuiya katika vikao vya Mkoa huo. (7) Kumsimamisha uongozi kiongozi yeyote
wa Kata/W adi na Jimbo endapo itadhihirika kwamba tabia na mwenendo wake vinamwondolea sifa za uongozi.
(8) Kuandaa mikutano ya Halmashauri Kuu ya CCM ya Wilaya.
(9) Kuona kwamba masuala ya Ulinzi na Usalama yanazingatiwa katika Wilaya. 82. Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM ya Wilaya itakuwa na wajumbe wafuatao:-(1) Katibu wa CCM wa Wilaya ambaye
atakuwa Mwenyekiti.
(2) Katibu wa Siasa na Uenezi wa Wilaya. (3) Katibu wa Uchumi na Fedha wa Wilaya. (4) Makatibu wa W ilaya wa Jumuiya
zinazoongozwa na CCM.
83. (1) Majukumu ya Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM ya W ilaya yatakuwa yafuatayo:-Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM ya Wilaya Majukumu ya Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM ya Wilaya
(a) Kuongoza na kus imamia shughuli za Chama katika W ilaya.
(b) Kuandaa shughuli za vikao vyote vya Chama vya Wilaya. (2) Majukumu ya Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM ya W ilaya yatagawanyika ifuatavyo:-(a) Katibu wa CCM wa Wilaya. (b) Idara ya Siasa na Uenezi ya
W ilaya.
(c ) Idara ya Uchumi na Fedha ya W ilaya.
(d) Idara ya Organaizesheni ya W ilaya.
(3) Kila Idara itaongozwa na Katibu wa H almashauri Kuu ya W ilaya isipokuwa kwamba Katibu wa CCM wa W ilaya atakuwa ndiye Katibu wa Organaizesheni katika W ilaya. 84. Kutakuwa na W akuu wa CCM wafuatao
katika W
ilaya:-(1) Mwenyekiti wa CCM wa W ilaya. (2) Mjumbe au Wajumbe wa Halmashauri
Kuu ya Taifa wa Wilaya hiyo.