• Tidak ada hasil yang ditemukan

Pamoja na tofauti kubwa ya udhihirikaji wa mofu nafsi na njeo baina ya K ipemba na Kiswahili sanifu, lakini tofauti hizo hazikuweza kuleta athari za kisemantiki katika maneno yanayojengwa na mofu hizo.

5.3 Mapendekezo ya Utafiti

Ingawa kwa kiasi Fulani tumekamilisha utafiti huu lakini tuelewe kwamba utafiti huu haukumaliza kila kitu katika eneo ambalo limechunguzwa. Hivyo basi mtafiti anapendekeza kwamba tafiti nyingine za kimofolojia zinazohusu ulinganifu wa mofu katika lahaja za K iswahili zinahitaji kufanyiwa kazi. Aidha, katika kufanya utafiti huu, mtafiti alibaini kuwa kuna upungufu mkubwa wa tafiti zinazohusika na mofolojia za lahaja mbali mbali hasa lahaja ya K ipemba kwa hiyo, maoni ya mtafiti kwa wanaisimu wa lugha na wataalam wengineo wafanye uchunguzi juu ya mofolojia ya lahaja mbali mbali ili tuweze kuziba pengo liliopo.

55

MAREJELEO Ash, S. na Boberg, C. (2006). Southern Dialect.en wekipedia.org/wiki/Southern

American English.

Ashton, E. O. (1971). Swahili Grammar. London: Burke's Peerage Ltd. Bakar K. B. (2015). Ulinganishi wa K iisimu kati ya Lahaja ya Kipemba na

Kitumbatu. (Tasnifu ya uzamili haijachapishwa) Chuo K ikuu Huria cha Tanzania.

Besha, R. M. (1989) A Study of Tense and Aspect in Shambala; Berlin: Dietrich Verlag.

Cohen, L., Manion, L. na Marrison, K. (2000). Research Methods in Education. Toleo la 5. London: Rutledge Falmer. Chomi, E. (2013) Kitangulizi cha Mofolojia ya Kiswahili. Dar es Salaam; Taasisi ya

Taaluma za K iswahil.

Enon, J. (1995). Educational Research Statistics and Measurement. Kampala; Makerere University Uganda

Enon, J. (1998). Reseach Methods in special Education and Field Study, London: Sage Publications.

Juma, H. K. H. (2011). Tofauti za K iisimu baina ya K iswahili cha Micheweni na Kiswahili cha Wete katika K isiwa cha Pemba. (Tasnifu ya M.A K iswahili haijachapishwa) Chuo kikuu Huria cha Tanzania. Karanja, P. na Habwe, J. (2004). Misingi ya Sarufi ya Kiswahili. Nairobi: Phoenix

Publishers.Ltd.

Khamis, S. A. (1984). Ubarn versus Rural Swahili Study of Pemba Varieties. (Tasnifu ya Uzamivu haijachapwa)Leipzing: Karl Marx University.

56

Kihore, Y. M. (2003). Sarufi Maumbo ya Kiswahili Sanifu (SAMAKISA) Dar es Salaam: TUKI.

Kipacha, A. (2007). Utangulizi wa Lugha na Isimu, Dar es salam Chuo K ikuu Huria cha Tanzania.

Kombo, D. K. and Tramp, D. I. (2006). Proposal and Thessis riting Introfuction, Nairobi: Paulines Publications Africa. Kothari, C. R. (1990). Reseach Methods: Methods and Techniquies: New Delhi. New

age Intenational Publishing Ltd.

Kothari, C. R. (2004). Research Methodology: Methods and Techniques. Delhi Wiley Eastern.

Kothari, C. R. (2008). Research Methodology: Methods and Techniques. New Delhi: New age Intenational Publishing Ltd. Lambert, H. (1958). Chi-Jomvu and K i-ngare subdialects of Mombasa area, Kampala

East African Swahili committee, Studies in Swahili Dialects. Kampala, Uganda Maganga, C. I. (1991). A Study of Mophophonology of Standard K iswahili, Kipemba, Kitumbatu and K imakunduchi, Un Published PhD Thesis University of Dar es Salam.

Massamba, D. P. B; Kihore, Y. M. na Hokororo, J. I. (1999). Sarufi Miundo ya Kiswahili Sanifu (SAMIKISA) Sekondari na Vyuo. Dar es Salaam: TUKI. Massamba, D. P. B. (2002). Historia ya Kiswahili: 50 BK hadi 1500 BK. Nairobi:

Jomo Kenyata Foundation.

Massamba, D. P. B., K ihore, Y. M. na Hokororo, J. I. (2003). Sarufi Maumbo ya Kiswahili Sanifu (SAMAKISA). Sekondari na Vyuo. Dar es Salaam: TUKI

57

Massamba, D. P. B. (2004). Kamusi ya Isimu na Falsafa ya Lugha. Chuo K ikuu cha Dar es Salaam. Dar es Salaam: TUKI. Massammba, D. P. B. (2012). Misingi ya Fonolojia, Dar es Salaam. TATAKI. Matinde, R. (2012). Dafina ya Lugha Isimu na Nadharia, Mwanza: Mwanza

Serengeti Educational Publishers (T) Ltd. Mazrui, A. M. (1983). Aspect Markingin Swahili Accounting for Vanation.

Kiswahili, Dar es Salaam: TUKI.

Mgullu, R. (1999). Mtalaa wa Isimu.Fonetiki, Fonolojia na Mofolojia ya Kiswahili. Nairobi: Nairobi Fotoform Ltd.

Mohammed, S. S. (2013). Athari za K iisimu za Lahaja ya K imakunduchi katika Kiswahili Sanifu K inachotumika Shuleni Makunduchi Zanzibar (Tasnifu ya Uzamili haijachapishwa) Chuo K ikuu huria cha Tanzania. Msanjila, B. (2011). Isimu Jamii Msingi na Nadharia. Dar es Salaam: Dar es Salaam

University Press.

Mshindo, H. B. (1989). “The Use of KA in Pemba Swahili Variety” (Tasnifu ya uzamili, Haijachapishwa) Chuo K ikuu cha Dar es Salaam Mtavangu, N. (2008). Tense and Aspect in Ikihehe, in Occasional Papers in

Linguitics No.3 UDSM. Nordic Journal of African Studies 22(4):213-235 (2013).

Nurse, D. na Spear, T. (1985). The Swahili Reconstructing the History and of an African Society. Philadephia: University of Pennsylvania. Polome, E. C. (1967). Swahili Language Handbook, centre of Applied Linguistics,

58

Rubanza, Y. (2003). Sarufi Mtazamo wa Kimuundo, Dar es Salaam: Chuo K ikuu Huria cha Tazania.

Rubanza, Y. (1996). Mofolojia ya Kiswahili, Dar es Salaam: Chuo K ikuu Huria cha Tanzania.

Rugemalira, M. J. (2005) A Grammar of Runyambo. LOT Publication; Grammar SERIES NO.1 DSM

Stigand, C. H. (1995). Grammar of Dialect hanges in the Swahili Language. London: Cambridge University Press. Whiteley, W. H. (1958). The Dialects and Verse of Pemba. Kampala East African

Swahili Committee.

William, N. (2011). Your Research Project – A Step-By- Step Guile for the First Time, London: Sage Publication.

59

VIAMBATANISHO

Kiambatanisho 1: Dodoso la Utafiti

Jina la mtafitiwa ………..(siyo lazima kuliandika)

Umri. ………

Elimu Fiv ( ) Fvi ( ) Diploma ( ) Digirii ( ) (Weka alama ya vyema panapostahiki) Maneno yaliyoorodheshwa hapo chini yameandikwa kwa K iswahili sanifu tafadhali yaandike kulingana na matamshi ya wapemba. KISWAHILI SANIFU KIPEMBA. UYAKINISHI Ninacheza ……… Nimelima ……….. Nilisoma ……….. Nitaimba ……… Tunapika ……… Tumelima ……… Tulisoma ……….

60 Tutapika ……… Unaimba ……….. Umeimba ……….. Uliimba ……….. Utaimba ……… Munaimba ……… Mmeimba ……… Mliimba …………... Mutaimba …………. Alisoma ………. Amesoma ……… Anasoma ………. Atasoma ………. Wanasoma ………. Wamesoma ……… UKANUSHI Sisemi ………..

61 Sikusema ……….. Sitasema ……….. Hatusomi ……….. Hatukusoma ……….. Hatutasoma ……….. Hubagui ……….. Hukubagua ……….. Hutabagua ……….. Hamjui ……….. Hamkujua ………... Hamtojua ……… Harudi ……… Hakurudi ……… Hatorudi ……… Hauzi ……… Hatouza ……… Hakuuza ………

62

Kiambatanisho 2: Baadhi ya Hadithi Ambazo Zilisimuliwa na Watafitiwa

MTAFITIWA: Haya bibi nkuhadisile hadisi gani uitakayo. MTAFITI: Babu nihadithie hadithi yeyote unayoijua. MTAFITIWA: Basi bibi ntaka nkuhadisile hadisi kuhusu maisha yetu yaalivyokuwa uko kale maana nyie watoto wa sasa bibi mpahali mutende jeuri ukati huu nyie mwalya dunia sie tukiliwa n,dunia. Enzi zetu bibi ntu akitaka kya kutia kanwani hanakyo. Njaa yee kali na maradhi yakawa mingi watoto wakipukutika kana mbuyu kwa kukoso vyakula na dawa za kutibiwa. Basi siku moja bibi nelala siku tatu na wanangu sepata ta kya kupika, himwambili nke wangu mame Nsabaha.nke wangu, leo ntaka hatarazaki uko pwani aasaa kwa Mungu hwenda hapata nga vipweza tukasongea watoto uo ugali. Bibi hitoka mie na babe Mfaki tukaelekea pwani. Katika pirika zetu, bibi hiono dude lya fingiritafiringita kwenye maji ela hayeemengi. Himwita babe Mfaki, babe N faki njoo neema hianguku hii. Babe mfaki kaji mbio na eena jindu lya nyoa kwa ukali basi babe N faki kanpigi duda lile likatiki vibutu viwili kila butu likifukuruta wakwe upande.sasa himwambili babe N faki njoo tuchukule neema yetu. Bibi taa twalikaribia kumbe n,bunju.(MTAFITI) babu bunju ni nini? E bibi wee, bunju nsamaki ela haliwi yuu sumu tupu. Basi bibi siku iyo, huku hatwepata jambo, huku njaa taa kwenenda hatweweza, huku watoto uko nyumbani wachunza njia.

63

Kiambatanisho 3: Mazungumzo ya Wanawake Wakati Wakire jea Shughuli ya Harusi

A: Mamengwa kuyaona yale mambo B: Mambo yapi nawe mame Sada A: Ao watoto wa sasa wasivyotahayari B: Usiseme mwenzangu nawe kun,yaona A: Nsiyaone vipi nami ela hinchunza Yule harusi asivyotahayari macho pwee pwee B: K unnsikia vile alivyomwambia Yule mpambaji,hii wanja hujanitia uzuri A: Narangi ya ndomo haichukuani iyo basi hitii kidole ndomoni hasema jamaa, haya

zinpotea siye enzi zetu mambo aya kayeepo. B:Ntu akingia homa akisikia atakaolewa,na uyo atakaemuoa hamwonopo

64

Kiambatanisho 4: Mazungumzo ya Wazee Wakiwa Sokoni

Mzee 1: Lahau wauona mwaka uo Mzee 2: Usihadisi lahau mwaka uu ndio ntu hevuna ata Mzee 1: Wajua ile shamba yangu ya kwa mwanadau kila mwaka navuna gunia kumi na mbili ila mwaka uu ta mbeu siiyavya.

Mzee 2: Sikiliza lahau maasi yakiwa mingi duniani kila kitu hakiwakyo Mzee 1: Na marazi kuwa mengi ela yasiyojulikana tibaye. Mzee 2: Usihadisi kummuona Yule Kombo, haa nmaradhi gani yale Mzee 1: Ha yajulikana kanmaliza sipitali zote ela ugonjwawe hawetambulika Mzee 2: Sasa twabaki kusema tu kuchukuwa izo zambi, mara kanpewa jinni ni ani

mara ni ani Mzee1: Haya tumuombele dua mwenzetu Mungu amuafu.

Dokumen terkait