[PDF] Top 20 Kuchunguza Matumizi ya Methali katika Jamii ya Wanyiramba
Has 499 "Kuchunguza Matumizi ya Methali katika Jamii ya Wanyiramba" found on our website. Below are the top 20 most common "Kuchunguza Matumizi ya Methali katika Jamii ya Wanyiramba".
Kuchunguza Matumizi ya Methali katika Jamii ya Wanyiramba
... kuu ya pili ya methali ni kuwa chombo kinachoibua hisia za wanajamii kutokana na sanaa iliyomo katika methali yenyewe ili kuwasilisha ujumbe ...maneno ya methali ... Lihat dokumen lengkap
92
Kuchunguza Matumizi ya Lugha Katika Riwaya ya Kichwamaji na Vuta N’kuvute : Utafiti Linganishi
... Baada ya hapo mtafiti ameendelea kwa kuangalia maana ya riwaya kama ilivyoelezwa na wataalamu ...haja ya kuanza kuangalia maana ya riwaya na chimbuko lake ingawa wahakiki na watafiti wengi ... Lihat dokumen lengkap
179
Kuchunguza Dhima ya Nyimbo kwa Wafiwa Katika Jamii ya Wanyakyusa Wilaya ya Rungwe, Mkoa wa Mbeya
... elimu katika jadi, namna watu wa jamii fulani ...za jamii ikiwa ni pamoja na lugha yao, mila na dasturi, mtindo wa maisha, imani na ...Utamaduni katika lugha yao kwa namna wanavyoitumia ... Lihat dokumen lengkap
83
Kuchunguza Mabadiliko ya Tondozi za Wanyakyusa Katika Awamu za Kihistoria
... Baada ya kupitia maudhui ya tondozi katika awamu mbalimbali sasa tuangalie mabadilikoya tondozi ...Mazingira ya msanii pamoja na tajriba zake katika maisha huathiri kwa kiasi kikubwa ... Lihat dokumen lengkap
258
Kuchunguza Dhima za Methali Zinavyoendeleza Elimu ya Jadi. Mfano Kutoka Jamii ya Wapare wa Shighatini Mwanga
... Matabaka ya watu ndani ya jamii ni chanzo kingine cha ...kaniki ya kusitiria siri ...mithili ya mbayuwayu na chiriku wa mwituni, wasaka tonge, kama awaitavyo Mohammed Khatib, ndani ... Lihat dokumen lengkap
190
Kuchunguza Kiwango cha Mabadiliko ya Matumizi ya Msamiati wa Kipemba
... Matokeo katika Jedwali 4.10 yanaonesha kuwa msamiati unatumika katika majina ya mimea upo katika katika nyanja moja ...dhidi ya msamiati “mbarika”, “mriba/nriba” (mmea ... Lihat dokumen lengkap
109
Kuchunguza Matumizi ya Misimu ya Mugha kwenye Mitandao ya Kijamii kwa Wazungumzaji wa Kiswahili Vyuoni Morogoro
... majibu ya watafitiwa yatajibainisha vizuri kwenye sura ya nne misimu ni mabadiliko ya kihistoria ya jamii katika nyanja za kiuchumi, kisiasa, kijamii na kiutamaduni ambazo pia ... Lihat dokumen lengkap
122
Kuchunguza Matumizi ya Lugha katika Riwaya ya Kiswahili: Uchunguzi Kifani wa Vipuli vya Figo na Siri za Maisha
... riwaya ya Kiswahili na nyingeine zote duniani. Kisa ndiyo sehemu ya asili ambayo imekuwepo toka wakati wa ngano hadi katika ...kuupata katika utanzu mwingine wowote wa kazi ya fasihi ... Lihat dokumen lengkap
100
Kuchunguza Tamathali za Usemi katika Mashairi ya Magazetini: Uchunguzi kifani wa Mashairi ya UKIMWI katika Magazeti ya Kiswahili
... muafaka katika kusukuma mbele utafiti wetu wa sasa kwa sababu umeonesha kwamba, wimbo ama shairi linaweza kuandikwa kulenga jambo fulani mfano, mapenzi lakini ndani yake kukawa na masuala ya ...mhakiki ... Lihat dokumen lengkap
128
Kutathmini Matumizi ya Lugha na Dhamira Katika Tamthiliya za Kinjeketile na Nyerere na Safari ya Kanaani: Utafiti Linganishi
... Aidha katika tamthiliya ya Nyerere na Safari ya Kanaani msanii alitumia vipengele vya lugha ambayo ni pamoja na methali, nahau, misemo na tamathali za semi ambazo ni sitiari, tashihisi, ... Lihat dokumen lengkap
95
Kuchunguza Dhima ya Methali za Jamii ya Wasimbiti wa Rorya Mkoani Mara
... sana katika methali za jamii ya ...juu ya imani kwa Waafrika tazama methali zao. Katika methali zao utaona namna waafrika wanavyomuogopa Mungu ambaye wao kwa mujibu ... Lihat dokumen lengkap
119
Matumizi ya Lugha na Dhamira katika Tamthilia Teule za Mwandishi Emmanuel Mbogo
... nadharia ya simiotiki husisitiza kuwepo kwa ujumbe kila ...fulani. Katika kuchunguza athari za nadharia ya simiotiki kwa jamii, Krawsczyn (2006) anadai kuwa nadharia ya simiotiki ... Lihat dokumen lengkap
122
Kuchunguza Matumizi ya Mbinu za Kisanaa na Dhamira katika Tamthiliya ya Morani
... kazi ya kupambana na uhujumu uchumi na wahujumu uchumi ni ngumu na inaweza kumfanya mpiganaji kupoteza maisha ...maslahi ya watu ambao tayari walikwishazoea kupata vipato vikubwa kwa njia ambazo si ... Lihat dokumen lengkap
88
Kuchunguza Matumizi ya Tafsida Katika Lahaja ya Kipemba: Uchunguzi wa Mazungumzo
... kwamba,” jamii katika hali yake ya uvumbuzi wa lugha hubuni maneno na kisha huamua nini chafaa kuzungumzwa kwa upole na nini ...wa jamii hauna kile kinachosemwa na kisemwe wapi na ... Lihat dokumen lengkap
73
Athari za Lugha ya Kimakonde Katika Kujifunza Lugha ya Kiswahili
... hasa katika kutafiti athari za lugha mama za Kibantu kwa makabila mengine ya Tanzania katika Kujifunza lugha ya ...Lugha ya Kimakonde imepata nafasi ya kufanyiwa utafiti wa kina ... Lihat dokumen lengkap
158
Mtindo katika Riwaya ya Marimba ya Majaliwa ya Edwin Semzaba
... juu ya maji kama vile meli kitu ambacho kwa uhalisia si sahihi. Katika maisha ya kawaida hakuna mtu ambaye anauwezo wa kusafiri juu ya maji bila ya kutumia chombo chochote cha usafiri ... Lihat dokumen lengkap
70
Kuchunguza Vipengele vya fani katika Mashairi ya Kiswahili: Ulinganishi na ulinganuzi wa Mashairi ya Euphrase Kezilahabi na Haji Gora Haji
... una matumizi makubwa ya mbinu za kifasihi simulizi, jambo ambalo linaufanya kuwa na sura ya Kiafrika zaidi kuliko ile ya Kimagharibi kama ilivyo katika baadhi ya kazi za ... Lihat dokumen lengkap
104
Mtazamo wa Jamii Juu ya Sera ya Elimu na Mafunzo 2014 Kuhusu Kutumia Kiswahili Kufundishia na Kujifunzia Elimu ya Juu katika Vyuo vya Kati
... kati ya miaka ya 1967 hadi 1987, elimu ya Tanzania ilifuata itikadi ya Ujamaa na ...Mabadiliko ya itikadi toka ubepari kuwa ya Ujamaa kuliambatana na mabadiliko makubwa ... Lihat dokumen lengkap
116
Athari ya Kiswahili Sanifu Katika Msamiati wa Lahaja Ya Kimakunduchi
... athari katika fonolojia, mofolojia na ...zaidi katika matumizi ya lugha ya maandishi katika simu za ...zilizofanyika katika maeneo mbali mbali kuhusu lugha tandawazi kama ... Lihat dokumen lengkap
100
Kuchunguza Fasihi ya Majina ya Mitaa Mjini Unguja
... nyuma ya kituo cha polisi, ndege wengi walikuwa wakija pahala hapo wakati wote kwa ajili ya kula matunda ya mti ...Chini ya mti huo alikuwapo mtu aliyekuwa na kawaida ya kuwapiga ndege ... Lihat dokumen lengkap
108
Related subjects