• Tidak ada hasil yang ditemukan

Speech by Zitto Kabwe

N/A
N/A
Protected

Academic year: 2021

Membagikan "Speech by Zitto Kabwe"

Copied!
13
0
0

Teks penuh

(1)

Hotuba ya kufunga mwaka ya Mhe: Zitto Kabwe (Mb), wakati

Hotuba ya kufunga mwaka ya Mhe: Zitto Kabwe (Mb), wakati

wa mkutano wa pamoja wa hadhara na Mwenyekiti wa CUF,

wa mkutano wa pamoja wa hadhara na Mwenyekiti wa CUF,

Profesa Ibrahim Lipumba, mjini Mtwara (31/12/2014).

Profesa Ibrahim Lipumba, mjini Mtwara (31/12/2014).

Ndugu Profesa Ibrahimu Lipumba Ndugu Profesa Ibrahimu Lipumba

Mwenyekiti wa Taifa wa CUF, Mwenyekiti wa Taifa wa CUF,

Ndugu Viongozi mbalimbali mliopo hapa leo, Ndugu Viongozi mbalimbali mliopo hapa leo,

Ndugu Wananchi Ndugu Wananchi

Mtwara Hakiii Mtwara Hakiii

Mtwara kuchele? Mtwara

Mtwara kuchele? Mtwara kumekucha?kumekucha?

MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi

MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba,(CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, nashukuru

nashukuru sana sana kwa kwa mwaliko mwaliko wako wako kuja kuja kuzungumza kuzungumza na na watu watu wawa Mtwara na kujumuika nao katika kufurahia mafanikio makubwa Mtwara na kujumuika nao katika kufurahia mafanikio makubwa waliyoyapata katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

(2)

Nakushukuru kwa kipekee kwa upendo wako kwangu. Umekuwa mlezi Nakushukuru kwa kipekee kwa upendo wako kwangu. Umekuwa mlezi wangu kisiasa na kimaisha. Hata pale nilipopitia mikiki mikiki na wangu kisiasa na kimaisha. Hata pale nilipopitia mikiki mikiki na mihemko ya kisiasa, kamwe hukunikatia hukumu, bali uliona namna bora mihemko ya kisiasa, kamwe hukunikatia hukumu, bali uliona namna bora zaidi ya k

zaidi ya kunijenga kiuongunijenga kiuongozi. Wakozi. Wakati ati baadhi ya wbaadhi ya watu wakiandikia atu wakiandikia tanziatanzia yangu ya kisiasa, uliniita na

yangu ya kisiasa, uliniita na kufuturu nawe nyumbani kwako ukiwa katikkufuturu nawe nyumbani kwako ukiwa katikaa moja ya sunna zako unazofunga kila wiki. Nakushukuru sana sana, na moja ya sunna zako unazofunga kila wiki. Nakushukuru sana sana, na ninaomba uendelee kunilea katika maisha yangu ya kisiasa, kifamilia, ninaomba uendelee kunilea katika maisha yangu ya kisiasa, kifamilia, kijamii na hata kitaaluma. Ukiwa mbobezi wa kimataifa katika taaluma ya kijamii na hata kitaaluma. Ukiwa mbobezi wa kimataifa katika taaluma ya uchumi nami nafuata nyayo zako, nataka nipite humohumo ulimopita na uchumi nami nafuata nyayo zako, nataka nipite humohumo ulimopita na inshallah na hata zaidi.

inshallah na hata zaidi.

Ndugu wananchi, Ndugu wananchi,

Ni kwa sababu ya upendo wa Profesa Lipumba kwangu nilishindwa Ni kwa sababu ya upendo wa Profesa Lipumba kwangu nilishindwa kukataa kukubali mwaliko wake kuja hapa kujumuika nanyi katika siku kukataa kukubali mwaliko wake kuja hapa kujumuika nanyi katika siku hii muhimu sana. Hakuna namna bora zaidi ya kushukuru zaidi ya hii muhimu sana. Hakuna namna bora zaidi ya kushukuru zaidi ya kuendelea kufanya kazi pamoja katika kuwatetea Watanzania na Tanzania kuendelea kufanya kazi pamoja katika kuwatetea Watanzania na Tanzania yetu. Umoja wa upinzani ndio silaha dhidi ya mabwenyenye wa kiuchumi yetu. Umoja wa upinzani ndio silaha dhidi ya mabwenyenye wa kiuchumi na kisiasa hapa nchini. Najua huko waliko inawauma sana wanapoona na kisiasa hapa nchini. Najua huko waliko inawauma sana wanapoona wapinzani wanaungana bila kujali tofauti ndogondogo zinazojitokeza wapinzani wanaungana bila kujali tofauti ndogondogo zinazojitokeza miongoni mwao. Tutaendelea kushirikiana kwa maslahi mapana ya nchi miongoni mwao. Tutaendelea kushirikiana kwa maslahi mapana ya nchi yetu na katika kuhakikisha kwamba utawala wa Chama cha Mapinduzi yetu na katika kuhakikisha kwamba utawala wa Chama cha Mapinduzi ambacho sasa ni chama cha mabwenyenye unakoma katika nchi yetu ambacho sasa ni chama cha mabwenyenye unakoma katika nchi yetu mapema

(3)

Nimekuja pia Mtwara kwa sababu huu ni Mkoa wa kipekee katika historia Nimekuja pia Mtwara kwa sababu huu ni Mkoa wa kipekee katika historia ya nchi yetu. Mtwara ni Mkoa ambao kwa miaka zaidi ya miaka 25 baada ya nchi yetu. Mtwara ni Mkoa ambao kwa miaka zaidi ya miaka 25 baada ya nchi yetu kupata uhuru ulibaki kuwa ngome imara dhidi ya mabeberu ya nchi yetu kupata uhuru ulibaki kuwa ngome imara dhidi ya mabeberu wa Kireno na waasi wa nchi jirani ya Msumbiji. Wakati mikoa mingine wa Kireno na waasi wa nchi jirani ya Msumbiji. Wakati mikoa mingine ikisonga mbele katika maendeleo ya kiuchumi na kijamii, Mikoa ya ikisonga mbele katika maendeleo ya kiuchumi na kijamii, Mikoa ya Mtwara na Lindi ilibaki

Mtwara na Lindi ilibaki nyuma kwa sababu ya kulinda heshima ya mipakanyuma kwa sababu ya kulinda heshima ya mipaka ya nchi yetu. Hii ni historia muhimu sana ambayo vijana wetu inabidi ya nchi yetu. Hii ni historia muhimu sana ambayo vijana wetu inabidi waijue na waithamini.

waijue na waithamini.

Katika miaka ya hivi karibuni Mkoa wa Mtwara umechukua sura mpya Katika miaka ya hivi karibuni Mkoa wa Mtwara umechukua sura mpya kabisa kitaifa kufuatia kugunduliwa kwa gesi. Na katika hili wananchi wa kabisa kitaifa kufuatia kugunduliwa kwa gesi. Na katika hili wananchi wa Mtwara mmeonyesha kwamba watanzania wanaweza kupigania maslahi Mtwara mmeonyesha kwamba watanzania wanaweza kupigania maslahi ya Taifa wakiamua. Mmesimama kidete kuhakikisha kwamba utajiri huu ya Taifa wakiamua. Mmesimama kidete kuhakikisha kwamba utajiri huu hauporwi na kwamba haturudii makosa yaliyofanyika Kanda ya Ziwa hauporwi na kwamba haturudii makosa yaliyofanyika Kanda ya Ziwa palepale tuliporuhusu madini kuporwa na mabeberu wa kimagharibi kwa msaada tuliporuhusu madini kuporwa na mabeberu wa kimagharibi kwa msaada wa mabwenyenye uchwara nchini mwetu. Nyie wananchi wa Mtwara wa mabwenyenye uchwara nchini mwetu. Nyie wananchi wa Mtwara mmesimama kidete katika kulinda maliasiali hii iliyogunduliwa kwa niaba mmesimama kidete katika kulinda maliasiali hii iliyogunduliwa kwa niaba ya wananchi wenzenu nchi nzima

ya wananchi wenzenu nchi nzima ya Tanzania.ya Tanzania.

Najua bado mnalia kuhusu Bomba la kupeleka Gesi Asili Dar es Salaam. Najua bado mnalia kuhusu Bomba la kupeleka Gesi Asili Dar es Salaam. Machozi yenu yatafutika tu kwani tayari habari za ufisadi mkubwa katika Machozi yenu yatafutika tu kwani tayari habari za ufisadi mkubwa katika ujenzi wa Bomba hili zimeanza kuchomoza. Kiongozi wa Upinzani ujenzi wa Bomba hili zimeanza kuchomoza. Kiongozi wa Upinzani Bungeni ametamka mara kadhaa kuwa atatoa hoja kuhusu ufisadi katika Bungeni ametamka mara kadhaa kuwa atatoa hoja kuhusu ufisadi katika ujenzi wa Bomba la Gesi. Sisi wengine, pale atakapohitaji msaada wetu, ujenzi wa Bomba la Gesi. Sisi wengine, pale atakapohitaji msaada wetu, tutamsaidia kwani tunaamini gharama za mradi huu zimezidishwa mara tutamsaidia kwani tunaamini gharama za mradi huu zimezidishwa mara mbili na inawezakana kabisa kuwa zaidi ya dola za Marekani 600 milioni mbili na inawezakana kabisa kuwa zaidi ya dola za Marekani 600 milioni

(4)

zimegawanywa kwa watu kama rushwa kuanzia Uchina mpaka hapa zimegawanywa kwa watu kama rushwa kuanzia Uchina mpaka hapa Tanzania. Machozi yenu wana Mtwara yatafutwa tu, kwa uwezo wa mola. Tanzania. Machozi yenu wana Mtwara yatafutwa tu, kwa uwezo wa mola.

Kwa hiyo kwangu mimi Mtwara ni alama ya harakati za kupigania haki za Kwa hiyo kwangu mimi Mtwara ni alama ya harakati za kupigania haki za wananchi kumiliki, kuendesha na kufaidika na mali asili za Taifa. wananchi kumiliki, kuendesha na kufaidika na mali asili za Taifa. Tutaendelea kushirikiana nanyi kuhakikisha kwamba utajiri unaoendelea Tutaendelea kushirikiana nanyi kuhakikisha kwamba utajiri unaoendelea kugunduliwa hapa Mtwara na Tanzania kwa ujumla unasaidia wananchi kugunduliwa hapa Mtwara na Tanzania kwa ujumla unasaidia wananchi katika kuboresha maisha yao, elimu zao na

katika kuboresha maisha yao, elimu zao na kumaliza umaskini.kumaliza umaskini.

Mimi kama mwana michezo na ambaye napigania maendeleo na Mimi kama mwana michezo na ambaye napigania maendeleo na mafanikio ya timu za hapa nyumbani Tanzania, niwapongeze pia wana mafanikio ya timu za hapa nyumbani Tanzania, niwapongeze pia wana Mtwara kwa sababu ya timu yenu ya mpira

Mtwara kwa sababu ya timu yenu ya mpira ya Ndanda FC ambayo imeletaya Ndanda FC ambayo imeleta changamoto sana kwenye maendeleo ya soka nchini kwetu. Napenda changamoto sana kwenye maendeleo ya soka nchini kwetu. Napenda kuitakia kheri timu yenu ya Ndanda FC

kuitakia kheri timu yenu ya Ndanda FC katika mashindano ya Ligi Kuu yakatika mashindano ya Ligi Kuu ya Tanzania yanaendelea hivi sasa.

Tanzania yanaendelea hivi sasa.

Ndugu Wananchi, Ndugu Wananchi,

Imekuwa baraka na neema sana kufunga mwaka huu hapa Mtwara, ikiwa Imekuwa baraka na neema sana kufunga mwaka huu hapa Mtwara, ikiwa ni alama ya harakati za mapambano dhidi ya mabeberu na vibaraka wao ni alama ya harakati za mapambano dhidi ya mabeberu na vibaraka wao popote walipo. Mtwara ni uwanja wa mapambano ya uwajibikaji na popote walipo. Mtwara ni uwanja wa mapambano ya uwajibikaji na demokrasia. Ndio maana nasema imekuwa neema na baraka kufungia demokrasia. Ndio maana nasema imekuwa neema na baraka kufungia mwaka huu hapa. Kama Mwalimu Nyerere alivyotanagza

mwaka huu hapa. Kama Mwalimu Nyerere alivyotanagza Azimio laAzimio la Arusha

Arusha mwaka 1967 katika kujenga Nchi ya kijamaa, wana mabadilikomwaka 1967 katika kujenga Nchi ya kijamaa, wana mabadiliko wote nchini wanapaswa kutangaza

wote nchini wanapaswa kutangaza Azimio la MtwaraAzimio la Mtwara  la Uwajibikaji  la Uwajibikaji katika Uvunaji wa Maliasili ya

(5)

Mwaka huu tunaouaga leo ulianza kwa matumaini makubwa sana kwa Mwaka huu tunaouaga leo ulianza kwa matumaini makubwa sana kwa Taifa letu katika kupata Katiba

Taifa letu katika kupata Katiba Mpya ilitayozamiwa kuweka misingi imaraMpya ilitayozamiwa kuweka misingi imara zaidi ya Uwajibikaji wa Serikali kwa Wananchi. Bahati mbaya mwaka zaidi ya Uwajibikaji wa Serikali kwa Wananchi. Bahati mbaya mwaka umemalizika kwa kubwaga chini mioyo ya Watanzania wengi sana baada umemalizika kwa kubwaga chini mioyo ya Watanzania wengi sana baada ya kupata Katiba Inayopendekezwa yenye mambo yale yale ya kupata Katiba Inayopendekezwa yenye mambo yale yale yaliyotufikisha hapa tulipo zaidi ya nusu karne tangia tupate Uhuru. yaliyotufikisha hapa tulipo zaidi ya nusu karne tangia tupate Uhuru. Hatutakubali nchi yetu irudi nyuma katika maendeleo ya demokrasia na Hatutakubali nchi yetu irudi nyuma katika maendeleo ya demokrasia na kuruhusu watu wachache wapore uhuru wa wananchi kwa maslahi yao na kuruhusu watu wachache wapore uhuru wa wananchi kwa maslahi yao na vyama vyao vilivyogeuka mapango ya uporaji wa mali asili zetu kupitia vyama vyao vilivyogeuka mapango ya uporaji wa mali asili zetu kupitia mabeberu wa kimagharibi na vibaraka wao. Hatutakubali katiba mpya mabeberu wa kimagharibi na vibaraka wao. Hatutakubali katiba mpya kwa jina. Hatutakubali mvinyo huohuo katika chupa mpya na muda kwa jina. Hatutakubali mvinyo huohuo katika chupa mpya na muda ukifika tutawaambia namna ya kuikataa katiba hii inayopendekezwa. ukifika tutawaambia namna ya kuikataa katiba hii inayopendekezwa. Busara inataka kura ya maoni ifanyike baada ya Uchaguzi Mkuu, lakini Busara inataka kura ya maoni ifanyike baada ya Uchaguzi Mkuu, lakini wakiileta tukusanye nguvu zetu zote kuikataa Katiba

wakiileta tukusanye nguvu zetu zote kuikataa Katiba Inayopendekezwa.Inayopendekezwa.

Ndugu Wananchi, Ndugu Wananchi,

Mwaka 2014 unaisha kwa hasira. Tumeshuhudia Bunge letu likijadili moja Mwaka 2014 unaisha kwa hasira. Tumeshuhudia Bunge letu likijadili moja ya kashfa kubwa kabisa kupata kutokea katika nchi yetu. Zaidi ya shilingi ya kashfa kubwa kabisa kupata kutokea katika nchi yetu. Zaidi ya shilingi Bilioni mia tatu zimechotwa na kugawaiwa kama njugu tena na watu Bilioni mia tatu zimechotwa na kugawaiwa kama njugu tena na watu wenye mamlaka na waliopewa heshima kubwa na umma. Hakuna kashfa wenye mamlaka na waliopewa heshima kubwa na umma. Hakuna kashfa kubwa kama wizi uliofanyika kupitia Akaunti ya Tegeta Esrow. Ni wizi kubwa kama wizi uliofanyika kupitia Akaunti ya Tegeta Esrow. Ni wizi mkubwa na tumewakamata wezi mchana kweupe kabisa. Nawakikishieni mkubwa na tumewakamata wezi mchana kweupe kabisa. Nawakikishieni kwamba juhudi zinazoendelea kufanywa na baadhi ya wezi wa fedha hizi kwamba juhudi zinazoendelea kufanywa na baadhi ya wezi wa fedha hizi na vibaraka wao zitashindwa vibaya kwa sababu ukweli haujawahi na vibaraka wao zitashindwa vibaya kwa sababu ukweli haujawahi

(6)

kushindwa. Watashindwa kwa aibu. Na mimi nawashauri wanyamaze na kushindwa. Watashindwa kwa aibu. Na mimi nawashauri wanyamaze na wakubali yaishe kwa sababu wataumbuka zaidi wakiendelea na wakubali yaishe kwa sababu wataumbuka zaidi wakiendelea na ujasiriamali wao wa kupika

ujasiriamali wao wa kupika uwongo barabarani.uwongo barabarani.

Kilichofanyika bungeni katika Mkutano wa 16 na 17 uliomalizika mwezi Kilichofanyika bungeni katika Mkutano wa 16 na 17 uliomalizika mwezi Novemba mwaka 2014 kimeonyesha namna ambavyo umoja ni nguvu. Novemba mwaka 2014 kimeonyesha namna ambavyo umoja ni nguvu. Wabunge wote bila kujali itikadi za vyama vyao walisimama kidete katika Wabunge wote bila kujali itikadi za vyama vyao walisimama kidete katika kuhakikisha kwamba maazimio yaliyopendekezwa na Kamati ya PAC kuhakikisha kwamba maazimio yaliyopendekezwa na Kamati ya PAC yanatekelezwa kikamilifu.

yanatekelezwa kikamilifu.

Somo

Somo moja moja tunalojifunza tunalojifunza ni ni kwamba kwamba tukishirikiana tukishirikiana hakuna hakuna linalowezalinaloweza kushindikana katika kupigania maslahi ya taifa letu pendwa la Tanzania. kushindikana katika kupigania maslahi ya taifa letu pendwa la Tanzania. Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni ushahidi tosha wa faida za kushirikiana. Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni ushahidi tosha wa faida za kushirikiana. Wananchi pia wameonyesha hasira zao dhidi ya Wizi wa fedha za Umma Wananchi pia wameonyesha hasira zao dhidi ya Wizi wa fedha za Umma kupitia uchaguzi huu.

kupitia uchaguzi huu.

Katika shilingi bilioni 306 zilizokuwa na zilizopaswa kuwa katika akaunti Katika shilingi bilioni 306 zilizokuwa na zilizopaswa kuwa katika akaunti ya Tegeta Escrow kuna fedha za Umma. Serikali inasema hazikuwa 306 ya Tegeta Escrow kuna fedha za Umma. Serikali inasema hazikuwa 306 bilioni bali 202 bilioni! Hii sio hoja ya msingi. Hoja ya msingi ni kwamba bilioni bali 202 bilioni! Hii sio hoja ya msingi. Hoja ya msingi ni kwamba hata zingekuwa bilioni moja, bado ndani yake kuna fedha za hata zingekuwa bilioni moja, bado ndani yake kuna fedha za umma

umma na na ilipaswa ilipaswa utekelezaji utekelezaji wa wa hukumu hukumu ya ya kupunguza kiwango kupunguza kiwango chacha tozo ya uwekezaji kufanyika ili kujua kiasi

tozo ya uwekezaji kufanyika ili kujua kiasi cha fedha za umma.cha fedha za umma.

Tapeli Harbinder Singh Seth alilipwa hizo zilizokuwemo katika Tapeli Harbinder Singh Seth alilipwa hizo zilizokuwemo katika akaunti na akaendelea kulipwa bakaa na TANESCO kiasi kwamba shirika akaunti na akaendelea kulipwa bakaa na TANESCO kiasi kwamba shirika hili linalofilisika linamlipa kila siku bwana huyu shilingi milioni 400.

(7)

Kila siku inayokwenda kwa mungu tunamlipa mtu ambaye hajawekeza Kila siku inayokwenda kwa mungu tunamlipa mtu ambaye hajawekeza hata senti tano nchini mwetu. Alikuja na briefcase tu. Kule Kigoma kuna hata senti tano nchini mwetu. Alikuja na briefcase tu. Kule Kigoma kuna neno jipya siku hizi, linaitwa umazwazwa. Ni kama ujuha hivi. Huu ni neno jipya siku hizi, linaitwa umazwazwa. Ni kama ujuha hivi. Huu ni umazwazwa ambao wananchi hawapaswi

umazwazwa ambao wananchi hawapaswi kuukubali.kuukubali.

Watu watatu tu ambao ni raia wa kigeni walichora wizi huu kwa miaka Watu watatu tu ambao ni raia wa kigeni walichora wizi huu kwa miaka mitatu.

mitatu. Mtu mmoja Mtu mmoja anaitwa Bwananaitwa Bwana Baharuddin ka Baharuddin kutoka Malayutoka Malaysia, Bwanasia, Bwana Issa

Issa Ruwaih Ruwaih kutoka kutoka Oman Oman na na Bwana Bwana Singh Singh kutoka kutoka Kenya Kenya na na anaishianaishi Afrika Kusini.

Afrika Kusini.

Walidanganya nyaraka za kuuziana makampuni, bwana Baharuddin Walidanganya nyaraka za kuuziana makampuni, bwana Baharuddin akauza

akauza hisa hisa za za IPTL IPTL kutoka kutoka Mechmar Mechmar kwenda kwenda kwa kwa Bwana Bwana Issa Issa wawa kampuni ya PiperLink na Bwana Issa naye akauza hisa hizo zikiwa kampuni ya PiperLink na Bwana Issa naye akauza hisa hizo zikiwa zimezuiwa na Mahakama kwa Bwana Seth wa kampuni PAP.

zimezuiwa na Mahakama kwa Bwana Seth wa kampuni PAP.

Mabwana

Mabwana hawa hawa wanajua wanajua Watanzania Watanzania ni ni mazwazwa mazwazwa na na hawafanyihawafanyi uchunguzi wa kina, yaani

uchunguzi wa kina, yaani ‘due diligence’ kwani hata kwenye EPA fedha‘due diligence’ kwani hata kwenye EPA fedha ziliibiwa kwa kutofanya due diligence na

ziliibiwa kwa kutofanya due diligence na kwa kutumia kitu kinaitwa ‘deedkwa kutumia kitu kinaitwa ‘deed of assignment’.

of assignment’.

Mabwana hawa wanajua kuwa Watanzania wenye ofisi za umma wana Mabwana hawa wanajua kuwa Watanzania wenye ofisi za umma wana njaa

njaa na na watawahonga kidogo watawahonga kidogo tu tu na na kupitisha kupitisha kila kila kitu. kitu. NdivyoNdivyo ilivyofanyika.

ilivyofanyika.

Kama viongozi wetu wangefanya ‘due diligence’ kwenye manunuzi ya Kama viongozi wetu wangefanya ‘due diligence’ kwenye manunuzi ya makampuni

makampuni haya haya kama kama Sheria Sheria ya ya Kodi Kodi ya ya Mapato Mapato inavyowataka,inavyowataka, tusingekuwa na skandali ya Tegeta Escrow.

(8)

Mfumo uliganzishwa kwa rushwa. Ukitazama miamala ya malipo kutoka Mfumo uliganzishwa kwa rushwa. Ukitazama miamala ya malipo kutoka akaunti ya Bwana Seth katika akaunti ya StanBic utaona fedha akaunti ya Bwana Seth katika akaunti ya StanBic utaona fedha zimekwenda benki

zimekwenda benki za za UAE UAE na na baadaye Oman baadaye Oman na na Malaysia. Fedha Malaysia. Fedha hizohizo zilikwenda kuwalipa mabwana Baharuddin na Issa.

zilikwenda kuwalipa mabwana Baharuddin na Issa.

Serikali lazima ichukue hatua mara moja kuhakikisha fedha zilizokuwamo Serikali lazima ichukue hatua mara moja kuhakikisha fedha zilizokuwamo kwenye

kwenye akaunti akaunti ya ya Tegeta Tegeta Escrow Escrow zinarudi, zinarudi, uamuzi uamuzi wa wa mahakama yamahakama ya kimataifa unatekelezw

kimataifa unatekelezwa na a na fedha za umma zinarejeshwa TANESCO na zilefedha za umma zinarejeshwa TANESCO na zile za binafsi zinalipwa kwa wamiliki halali. Tanzania haiwezi kuwa nchi ya za binafsi zinalipwa kwa wamiliki halali. Tanzania haiwezi kuwa nchi ya kubariki utapeli wa kimataifa na kuchafua sura ya nchi yetu mbele

kubariki utapeli wa kimataifa na kuchafua sura ya nchi yetu mbele ya jamiiya jamii ya kimataifa.

ya kimataifa.

Baraza

Baraza la la Taifa Taifa yaani yaani Bunge, Bunge, kupitia kupitia wawakilishi wawakilishi wa wa wananchi, wananchi, tayaritayari wameamua

wameamua na na kupitisha kupitisha maazimio. maazimio. Kilichobakia Kilichobakia ni ni maazimio maazimio hayohayo kutekelezwa na

kutekelezwa na Serikali. Serikali. Hakuna Hakuna mjadala mjadala katika katika maazimio ya maazimio ya Bunge,Bunge, maana katika maazimio hayo Serikali nayo imo; ilishiriki kikamilifu katika maana katika maazimio hayo Serikali nayo imo; ilishiriki kikamilifu katika kuyandaa na hatimaye kupitishwa na Bunge. Hakuna namna ya kukwepa kuyandaa na hatimaye kupitishwa na Bunge. Hakuna namna ya kukwepa kutekeleza maazimio ya Bunge kwa ukamilifu wake; nasema hakuna, ni kutekeleza maazimio ya Bunge kwa ukamilifu wake; nasema hakuna, ni utekelezaji tu.

utekelezaji tu.

Ndugu Wananchi, Ndugu Wananchi,

Nataka niwambie watanzania kupitia mkutano huu muhimu wa Mtwara Nataka niwambie watanzania kupitia mkutano huu muhimu wa Mtwara kwamba yaliyotokea Bungeni ni mwanzo na si mwisho. Ni mwanzo wa kwamba yaliyotokea Bungeni ni mwanzo na si mwisho. Ni mwanzo wa safari ndefu wa kujenga utamaduni wa uwajibikaji katika nchi

(9)

Dhana ya Uwajibikaji ni dhana inayotaka kila kiongozi kuwajibika kwa Dhana ya Uwajibikaji ni dhana inayotaka kila kiongozi kuwajibika kwa matendo yake katika utekelezaji wa shughuli za umma. Ni dhana ambayo matendo yake katika utekelezaji wa shughuli za umma. Ni dhana ambayo ni lazima kuienzi kama tunataka nchi yetu ibakie salama na yenye utulivu ni lazima kuienzi kama tunataka nchi yetu ibakie salama na yenye utulivu kwani kukosekana kwa uwajibikaji kunaleta rushwa na

kwani kukosekana kwa uwajibikaji kunaleta rushwa na ufisadi. Tusikubaliufisadi. Tusikubali watu wachache kwa maslahi yao binafsi waendelea kuharibu heshima ya watu wachache kwa maslahi yao binafsi waendelea kuharibu heshima ya nchi yetu. Tusikubali kamwe.

nchi yetu. Tusikubali kamwe.

Ufisadi unarudisha nyuma maendeleo, unaleta umasikini, unaleta Ufisadi unarudisha nyuma maendeleo, unaleta umasikini, unaleta vita

vita na na umwagaji umwagaji damu. damu. Ndio Ndio maana maana ni ni lazima lazima kuimarisha kuimarisha taasisi taasisi zaza uwajibikaji katika nchi yetu. Kufukuza mawaziri wanaposhindwa uwajibikaji katika nchi yetu. Kufukuza mawaziri wanaposhindwa kutekeleza

kutekeleza wajibu, wajibu, japo japo haitoshi, haitoshi, sio sio udhaifu udhaifu bali bali ni ni mchakato mchakato wawa kuimarisha taasisi za Uwajibikaji na kukuza demokrasia kwa ujumla. kuimarisha taasisi za Uwajibikaji na kukuza demokrasia kwa ujumla. Mwalimu Nyerere alituasa kwamba cheo ni dhamana. Ukipewa heshima Mwalimu Nyerere alituasa kwamba cheo ni dhamana. Ukipewa heshima ya kuongoza lazima

ya kuongoza lazima ujiheshimu, ukishindwa kujiheshimu lazima uondoke,ujiheshimu, ukishindwa kujiheshimu lazima uondoke, kwa hiari au kwa

kwa hiari au kwa kulazimishwa.kulazimishwa.

Waziri Mkuu mstaafu, Mzee wangu, Jaji Joseph Warioba, alipata Waziri Mkuu mstaafu, Mzee wangu, Jaji Joseph Warioba, alipata kunihadithia alivyojiuzulu wadhifa wake huo mwezi Machi mwaka kunihadithia alivyojiuzulu wadhifa wake huo mwezi Machi mwaka 1990. Rais Mwinyi alihutubia Taifa kuingia

1990. Rais Mwinyi alihutubia Taifa kuingia mwaka mpya wa 1990 kwambamwaka mpya wa 1990 kwamba rushwa imeshamiri ‘mpaka muuza njugu anaombwa rushwa’. Wizara rushwa imeshamiri ‘mpaka muuza njugu anaombwa rushwa’. Wizara takribani

takribani nane nane zikahusishwa zikahusishwa na na rushwa rushwa ikiwamo Wizara ikiwamo Wizara ya ya SheriaSheria (mahakama), Wizara ya Mambo ya Ndani (uhamiaji na polisi) na Wizara (mahakama), Wizara ya Mambo ya Ndani (uhamiaji na polisi) na Wizara ya Ardhi.

(10)

Mawaziri hawa nane walipaswa kuwajibika kwa kujiuzulu, lakini Mzee Mawaziri hawa nane walipaswa kuwajibika kwa kujiuzulu, lakini Mzee Warioba aliona hiyo ni takribani nusu ya Serikali akamwomba Rais Warioba aliona hiyo ni takribani nusu ya Serikali akamwomba Rais ajiuzulu yeye ili

ajiuzulu yeye ili Serikali mpya iundwe. Baada ya majadiliano Serikali mpya iundwe. Baada ya majadiliano marefu Mzeemarefu Mzee Mwinyi akakubali na akalitaka Baraza zima la Mawaziri kujiuzulu. Lote Mwinyi akakubali na akalitaka Baraza zima la Mawaziri kujiuzulu. Lote kabisa.

kabisa.

Akaunda upya Serikali, akamrejesha Warioba kama Waziri Mkuu lakini Akaunda upya Serikali, akamrejesha Warioba kama Waziri Mkuu lakini akaondoa baadhi ya

akaondoa baadhi ya mawaziri. Mwaka 1990 ulikuwa mwaka wa Uchaguzi,mawaziri. Mwaka 1990 ulikuwa mwaka wa Uchaguzi, lakini Mzee Mwinyi hakusita kuunda upya Serikali. Maamuzi hayo ndio lakini Mzee Mwinyi hakusita kuunda upya Serikali. Maamuzi hayo ndio yaliyomwingiza kwenye Baraza la Mawaziri ( kama Waziri Kamili) Meja yaliyomwingiza kwenye Baraza la Mawaziri ( kama Waziri Kamili) Meja (wakati huo) Jakaya Mrisho Kikwete ambaye sasa ni Rais wa

(wakati huo) Jakaya Mrisho Kikwete ambaye sasa ni Rais wa Jamhuri yetu.Jamhuri yetu.

Hivyo Rais akifanya leo sio jambo jipya. Uwaziri sio usultani, ni dhamana Hivyo Rais akifanya leo sio jambo jipya. Uwaziri sio usultani, ni dhamana tu ya kuongoza sehemu ya idara z

tu ya kuongoza sehemu ya idara za Serikali.a Serikali.

Ndugu Wananchi, Ndugu Wananchi,

Ni

Ni katika katika nchi nchi ya ya Tanzania pTanzania pekee ambapo ekee ambapo waziri anaweza waziri anaweza kutukanakutukana wananchi waziwazi mchana kweupe na kuwaambia kwamba ni wajinga wananchi waziwazi mchana kweupe na kuwaambia kwamba ni wajinga na wapumbavu na akabaki katika ofisi ya Umma. Ni Tanzania tu ndipo na wapumbavu na akabaki katika ofisi ya Umma. Ni Tanzania tu ndipo Katibu Mkuu wa Wizara anaweza kutukana wabunge kuwa ni washenzi Katibu Mkuu wa Wizara anaweza kutukana wabunge kuwa ni washenzi akaachwa bila kuchukuliwa hatua za kinidhamu. Huwezi kuwa na Taifa akaachwa bila kuchukuliwa hatua za kinidhamu. Huwezi kuwa na Taifa lisiloheshimu wananchi na wawakilishi wao. Uwajibikaji ni

lisiloheshimu wananchi na wawakilishi wao. Uwajibikaji ni suluhisho.suluhisho.

Uwajibikaji

Uwajibikaji unaweka unaweka nidhamu. nidhamu. Uwajibikaji Uwajibikaji unatoa unatoa matumaini matumaini kwa kwa watuwatu kuwa viongozi wao wanawajali.

(11)

Mwenyezi Mungu ameweka utajiri wa nchi yetu wa mafuta na gesi asilia Mwenyezi Mungu ameweka utajiri wa nchi yetu wa mafuta na gesi asilia kwenye mikoa ya Pwani na Kusini. Mikoa mingine pia mungu amejaalia kwenye mikoa ya Pwani na Kusini. Mikoa mingine pia mungu amejaalia utajiri. Kanda ya Ziwa kuna dhahabu na almasi, nyanda za juu makaa ya utajiri. Kanda ya Ziwa kuna dhahabu na almasi, nyanda za juu makaa ya mawe, Kaskazini Mlima Kilimanjaro na Tanzanite na kadhalika. Hata mawe, Kaskazini Mlima Kilimanjaro na Tanzanite na kadhalika. Hata hivyo katika dhahabu yote iliyochimbwa na kuuzwa nje ya thamani ya hivyo katika dhahabu yote iliyochimbwa na kuuzwa nje ya thamani ya dola za kimarekani bilioni 13 kati ya mwaka 1998 na mwaka 2013, yaani dola za kimarekani bilioni 13 kati ya mwaka 1998 na mwaka 2013, yaani miaka 15, nchi yetu ilipata mapato ya dola za Kimarekani 650 milioni tu, miaka 15, nchi yetu ilipata mapato ya dola za Kimarekani 650 milioni tu, sawa na asilimia tano.

sawa na asilimia tano.

Naomba kurudia. Kwa miaka 15 ambayo dhahabu yetu ilichimbwa na Naomba kurudia. Kwa miaka 15 ambayo dhahabu yetu ilichimbwa na kuuzwa, Watanzania tumepata shilingi tano tu katika kila shilingi 100 ! kuuzwa, Watanzania tumepata shilingi tano tu katika kila shilingi 100 ! Shilingi 95 zote zimekwenda kwa wageni. Kama sio

Shilingi 95 zote zimekwenda kwa wageni. Kama sio umazwazwa ni nini?umazwazwa ni nini?

Yote ni kwa sababu ya mikataba ya siri yenye makosa makubwa na yenye Yote ni kwa sababu ya mikataba ya siri yenye makosa makubwa na yenye kupendelea wawekezaji. Tunataka mikataba ya gesi iwe wazi kabla ya kupendelea wawekezaji. Tunataka mikataba ya gesi iwe wazi kabla ya uvunaji mkubwa kuanza ili kama kuna makosa turekebishe. Ndiyo maana uvunaji mkubwa kuanza ili kama kuna makosa turekebishe. Ndiyo maana Kamati yenu ya PAC iliamuru viongozi wa TPDC waswekwe ndani kwa Kamati yenu ya PAC iliamuru viongozi wa TPDC waswekwe ndani kwa kukataa kuweka mikataba hii wazi kwa wajumbe wa Kamati ili kukataa kuweka mikataba hii wazi kwa wajumbe wa Kamati ili waitathimini kwa niaba ya wananchi.

waitathimini kwa niaba ya wananchi.

Hatutaki

Hatutaki viongozi ambao viongozi ambao kazi kazi yao yao ni ni kuombaomba kwa kuombaomba kwa wawekezaji wawekezaji iliili kuwasaidia katika miradi yao ya kisiasa. Tunataka, kwa mfano, mtu kama kuwasaidia katika miradi yao ya kisiasa. Tunataka, kwa mfano, mtu kama DANGOTE anapowekeza hapa Mtwara, watu wa Mtwara na Watanzania DANGOTE anapowekeza hapa Mtwara, watu wa Mtwara na Watanzania wafaidike na sio wanasiasa. Kuomba omba rushwa kunatia doa heshima wafaidike na sio wanasiasa. Kuomba omba rushwa kunatia doa heshima yetu mbele ya mataifa ya ulimwengu.

(12)

Ndugu Wananchi, Ndugu Wananchi,

Tunaingia mwaka 2015 kifua mbele katika vita dhidi ya ufisadi na katika Tunaingia mwaka 2015 kifua mbele katika vita dhidi ya ufisadi na katika kusimika uwajibikaji nchini. Tunataka Watanzania wote wenye kusimika uwajibikaji nchini. Tunataka Watanzania wote wenye uzalendo

uzalendo kwa kwa nchi nchi yao yao kuungana kuungana na na vyama vyama vya vya upinzani upinzani katikakatika kuhakikisha uwazi na uwajibikaji nchini kwetu. Kwa upande wa Kamati kuhakikisha uwazi na uwajibikaji nchini kwetu. Kwa upande wa Kamati ya PAC tunawahakikishia utendaji uliotukuka zaidi. Katika Bunge la ya PAC tunawahakikishia utendaji uliotukuka zaidi. Katika Bunge la mwezi Januari, mkutano wa 18 moja ya jambo tutakalolitolea taarifa ni mwezi Januari, mkutano wa 18 moja ya jambo tutakalolitolea taarifa ni ukwepaji mkubwa wa kodi katika mauzo ya Korosho nje ya nchi, uagizaji ukwepaji mkubwa wa kodi katika mauzo ya Korosho nje ya nchi, uagizaji holela wa Sukari na nguo. Fuatilie Bunge hili kwa makini.

holela wa Sukari na nguo. Fuatilie Bunge hili kwa makini.

Tunautangaza Mwaka 2015 kuwa ni mwaka wa kuwajibishana. Tunautangaza Mwaka 2015 kuwa ni mwaka wa kuwajibishana. Uwajibikaji unahitajika zaidi mwaka 2015 kuliko wakati mwingine wowote Uwajibikaji unahitajika zaidi mwaka 2015 kuliko wakati mwingine wowote katika miaka mitano iliyopita. Tuungane kuhakikisha Serikali katika miaka mitano iliyopita. Tuungane kuhakikisha Serikali inawajibika

inawajibika kwa wananchi kwa wananchi badala ya badala ya kuweka mipango ya kuweka mipango ya kuchakachuakuchakachua uchaguzi.

uchaguzi.

Lakini nimalizie kwa kusema wazi wazi kwamba kujaribu kuiajibisha Lakini nimalizie kwa kusema wazi wazi kwamba kujaribu kuiajibisha serikali ya CCM kupitia Bunge ni kazi kubwa na ngumu mno. Hawa watu serikali ya CCM kupitia Bunge ni kazi kubwa na ngumu mno. Hawa watu ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa. Hawasikii. Hawaoni. Hawaambiliki. ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa. Hawasikii. Hawaoni. Hawaambiliki. Wameshazibwa mifumo ya fahamu. Hiyo ndiyo hatatari ya rushwa na Wameshazibwa mifumo ya fahamu. Hiyo ndiyo hatatari ya rushwa na ufisadi. Yote tunayoyafanya bungeni na nje ya Bunge kama wapinzani ni ufisadi. Yote tunayoyafanya bungeni na nje ya Bunge kama wapinzani ni mambo ya muda mfupi. Suluhu ya kudumu ya uwajibikaji kwa serikali ya mambo ya muda mfupi. Suluhu ya kudumu ya uwajibikaji kwa serikali ya CCM mnayo ninyi wananchi. Nami nawaomba mtusaidie muda ukifika CCM mnayo ninyi wananchi. Nami nawaomba mtusaidie muda ukifika mwakani mchukue HATUA kupitia kura zetu.

(13)

Hakuna tena muda wa kuwachekea hawa CCM. Tuwaweke pembeni na Hakuna tena muda wa kuwachekea hawa CCM. Tuwaweke pembeni na hili linawezekana kwa sababu tayari mmeshaonyesha kwamba mnaweza hili linawezekana kwa sababu tayari mmeshaonyesha kwamba mnaweza kupitia uchaguzi wa serikali za mitaa.

kupitia uchaguzi wa serikali za mitaa.

Tunapouanza mwaka mpya, kila mwenye mapenzi ya kweli ya nchi hii Tunapouanza mwaka mpya, kila mwenye mapenzi ya kweli ya nchi hii aungane na kufanya kazi pamoja na kwa bidii katika kuijenga Tanzania aungane na kufanya kazi pamoja na kwa bidii katika kuijenga Tanzania bora kwa kila Mtanzania. Tanzania imara, yenye kujali haki na utu wa raia bora kwa kila Mtanzania. Tanzania imara, yenye kujali haki na utu wa raia wake na yenye de

wake na yenye demokrasia na uwajmokrasia na uwajibikaji inawezekana. ibikaji inawezekana. Tuchukue hatuTuchukue hatuaa sasa!

sasa!

Namshukuru tena ndugu yangu, mjomba wangu Profesa Ibrahimu Namshukuru tena ndugu yangu, mjomba wangu Profesa Ibrahimu Lipumba, msomi mwana mapinduzi, kwa fursa hii adimu.

Lipumba, msomi mwana mapinduzi, kwa fursa hii adimu.

Asanteni sana kwa kunisikiliza Asanteni sana kwa kunisikiliza

… Hakiiii….. … Hakiiii…..

Referensi

Dokumen terkait

〔商法五九〇〕有価証券届出書の虚偽記載と主幹事元引受証券会社の民事責任東京高判平成三〇 年三月二三日 遠藤, 元一Endō, Motokazu

「見 直しを予定 して いる一] 格差 を縮小す る 格差 を拡大する... 制度

Berdasarkan latar belakang tersebut, peneliti memutuskan untuk memilih judul dari penelitian ini, yaitu “Pengaruh Efektivitas Komunikasi Interpersonal Distributor PT BWL

Dini, ditemukan bahwa gangguan kepribadian narsistik yang dialami oleh tokoh Dini akibat dari perubahan sikap suaminya yang membuat dirinya tidak lagi percaya diri, merasa tidak

Dalam scene kedua diatas director menggambarkan suasana duka dari keluarga Gerry atas kepergian ayah Gerry. Terlihat Ibu Gerry juga menangis dan coba ditenangkan

研究業績特 許数を 従属変数 と した重回帰分析 :管 理職... 研究業績論 文数を 従属変数 と

Attribution of responsibility and valence of success and failure in relation to initial confidence and task performance.. Attribution of responsibility and valence of outcome

air sumber pandaan sebelum dimasak menggambarkan menaikan kadar zat kapur, yang juga diikuti kenaikan tegangan pada saat pengujian. Hasil pengujian air sumber