• Tidak ada hasil yang ditemukan

Elimu ya UKIMWI Mahala pa Kazi

N/A
N/A
Protected

Academic year: 2021

Membagikan "Elimu ya UKIMWI Mahala pa Kazi"

Copied!
52
0
0

Teks penuh

(1)

ELIMU YA UKIMWI MAHALA

PA KAZI

UTANGULIZI

MADA HII IMEGAWANYIKA KATIKA SEHEMU KUU NANE

(2)

ELIMU YA UKIMWI MAHALA PA

KAZI

• SEHEMU

• 1. AWALI(BACKGROUND) • 2. MAANA YA UKIMWI

• 3. MIHIMILI MUHIMU MAHALI PA KAZI • 4. JINSI YA KUJIKINGA DHIDI YA

UKIMWI KWA KUTUMIA ELIMU NA HABARI

• 5. MAFUNZO YA UKIMWI • 6. KUPIMA KWA HIARI

• 7. MATUNZO NA MSAADA(CARE AND SUPPORT) 8. HITIMISHO

(3)

ELIMU YA UKIMWI MAHALA PA

KAZI

UTANGULIZI

UGONJWA WA UKIMWI NI TATIZO LA MATAIFA YOTE,

KWA SASA NI CHANGAMOTO KWA

MAENDELEO NA USTAWI WA BINADAMU. KATIKA NCHI ZOTE ZILIZOATHIRIKA TATIZO

HILI LINAMOMONYOA MAFANIKIO

YALIYOPATIKANA KWA KARNE NA MIONGO MINGI ILIYOPITA,

(4)

ELIMU YA UKIMWI MAHALA PA

KAZI

• LINAHARIBU UCHUMI,

• LINATISHIA USALAMA NA AMANI NA KUHANGAISHA JAMII.

• TANZANIA INALO TATIZO KUBWA SANA KATIKA JAMII NZIMA.

• TATIZO PIA LINAJITOKEZA DHAHIRI KWA

WAFANYA KAZI WA SERIKALI, ASASI ZISIZO ZA KISERIKALI N.K HIVYO ELIMU MAHALI PA KAZI HAIEPUKIKI

(5)

ELIMU YA UKIMWI MAHALA PA

KAZI

MAANA YA UKIMWI NA JINSI YA KUJIKINGA.

UKIMWI

NI KIFUPI CHA UPUNGUFU WA KINGA MWILINI HII NI HALI MWILI HUKOSA KINGA HIVYO

HUSHAMBULIWA NA MAGONJWA NYEMELEZI KAMA • KIFUA KIKUU • KICHOMI • MAGONJWA YA NGOZI • KANSA

(6)

Uhusiano

VIRUSI VYA UKIMWI

• NI VURUSI VINAVYOHARIBU KINGA KINGA YA MWILI HIVYO KURUHUSU MAGONJWA KUSHAMBULIA MWILI NA HATIMAYE KUSABABISHA KIFO

(7)

ELIMU YA UKIMWI MAHALA PA

KAZI

UGONJWA UNAVYOAMBUKIZWA

• UGONJWA UNAAMBUKIZWA KWA NJIA YA NGONO (HII NDIYO NJIA KUU YA

KUAMBUKIZA)

• DAMU YA MTU ALIYEAMBUKIZWA • UZAZI-Mtoto kuambukizwa na mama

aliyeambukizwa

• VITU VYENYE NCHA KALI VILIVYOSIBIKA DAMU AU MAJIMAJI YA MTU MWENYE

(8)

ELIMU YA UKIMWI MAHALA PA

KAZI

DALILI • KUPOTEZA UZITO • KUKOHOA MFULILIZO • KUTAPIKA NA KUHARISHA • UGONJWA WA NGOZI • UCHOVU WA KUDUMU • HOMA MARA KWA MARA • MKANDA WA JESHI

• UTANDO MDOMONI • KUVIMBA TEZI

(9)

ELIMU YA UKIMWI MAHALA PA

KAZI

MIHIMILI MUHIMU MAHALA PA KAZI

• KUFUATANA NA (ILO 2000)IPO MIHIMILI KUMI MAHALI PA KAZI

INAYOTUWEZESHA KUDHIBITI UGONJWA WA UKIMWI

(10)

ELIMU YA UKIMWI MAHALA PA

KAZI

1. KUTAMBUA UKIMWI KAMA HOJA (AN ISSUE)MAHALI PA KAZI

• UKIMWI NI HOJA MAHALI PA KAZI NA

INAPASWA KUCHUKULIWA KAMA TATIZO KUBWA MAHALI PA KAZI

• HIVYO SIYO TU SABABU UGONJWA UNA

ATHARI KWA WAFANYAKAZI ILA KWA KUWA MAHALI PA KAZI NI SEHEMU YA JAMII NA

WAFANYAKAZI WANA FURSA YA KUPAMBANA NAJANGA HILI

(11)

ELIMU YA UKIMWI MAHALA PA

KAZI

• AIDHA KWA KUWA NI HOJA MAHSUSI NA HAIHITAJI KUSUBIRI NI MUHIMU KUJADILI NA KUTOA UELEKEO NA

MIKAKATI MAKINI INAYOTEKELEZEKA MAHALI PA KAZI

(12)

ELIMU YA UKIMWI MAHALA PA

KAZI

2. KUTOKUWEPO UBAGUZI NA UNYANYAPAA MAHALI PA KAZI

KATIKA HALI YA KUHESHIMU HAKI ZA BINADAMU NA HESHIMA KWA WATU WALIOATHIRIKA,

HAPAPASWI KUWEPO UBAGUZI NA

UNYANYAPAA KWA WALIOATHIRIKA (NI MUHIMU)

UBAGUZI NA UNYANYAPAA KWA WATU WALIOATHIRIKA UNARUDISHA NYUMA HARAKATI ZA KUJIKINGA NA UKIMWI NA

KUUNGANISHA NGUVU NA KUPAMBANA NA UKIMWI KWA PAMOJA

(13)

ELIMU YA UKIMWI MAHALA PA

KAZI

3. USAWA NA JINSIA

• USAWA NA JINSIA NA UKIMWI NI SHARTI UTAMBULIWE MAHALI PA KAZI.

• WANAWAKE WANAWEZA

KUAMBUKIZWA NA KUATHIRIKA ZAIDI NA UKIMWI

• KUTOKANA NA MAUMBILE YAO

(14)

ELIMU YA UKIMWI MAHALA PA

KAZI

• UBAGUZI WA KIJINSIA UNAVYOKUWA

MKUBWA KATIKA JAMII NA KIASI CHA HADHI YA CHINI WANACHOPEWA WANAWAKE

NDIYO WANAVYOAMBUKIZWA ZAIDI NA WANANYIMWA NGUVU SAWA YA

KUPAMBANA NA JANGA HILI

• HIVYO USAWA WA JINSIA NA JINSI

WANAWAKE WANAVYOIMARISHWA NI

MUHIMU KATIKA KUZUIA NA KUWAKINGA DHIDI YA UKMWI

• PIA KUONGEZA NGUVU ZA KUPAMBANA NA UKIMWI

(15)

ELIMU YA UKIMWI MAHALA PA

KAZI

4. MAZINGIRA SALAMA YA KAZI

• MAZINGIRA YA MAHALI PA KAZI NI LAZIMA YAWE MAZURI KIAFYA NA SALAMA KWA WAHUSIKA WOTE ILI KUJIKINGA NA UKIMWI

• MAZINGIRA MAZURI KIAFYA

YANACHANGIA AFYA YA MWILI, AKILI NA UWEZO WA KUENDELEA NA KAZI VIZURI

(16)

ELIMU YA UKIMWI MAHALA PA

KAZI

5. MAJADILIANO YA KIJAMII

• KUFANIKIWA KWA UTEKELEZAJI WA

SERA NA MPANGO WA KUZUIA UKIMWI UNAHITAJI USHIRIKIANO WA DHATI,

KUAMINIANA BAINA YA

WAFANYAKAZI,VIONGOZI WAO NA

SERIKALI, WAKIWEMO WAFANYAKAZI WALIO ATHIRIKA NA UKIMWI

(17)

ELIMU YA UKIMWI MAHALA PA

KAZI

• WAFANYAKAZI MAHALI PA KAZI HAWANA BUDI WAWE NA

MAJADILIANO WAZI KUHUSU SUALA ZIMA LA UKIMWI NA UDHIBITI WAKE WOTE.

• MAJADILIANO YALENGE KUWEKA

BAYANA MIKAKATI YA UTEKELEZAJI NA RATIBA YA UTEKELEZAJI

(18)

ELIMU YA UKIMWI MAHALA PA

KAZI

6. KUPIMA VIRUSI KWA MAKUSUDI YA KUAJIRIWA

• WATU WASILAZIMISHWE KUPIMWA VIRUSI ILI WAAJIRIWE KAZI. ILA

WASHAURIWE KUPIMA KWA HIARI KWANI NI MUHIMU

(19)

ELIMU YA UKIMWI MAHALA PA

KAZI

7. SIRI

• HAKUNA HAJA YA KUMTAKA

ALIYEATHIRIKA KUTOA SIRI KUHUSU KUATHIRIKA KWAKE

• WALA WATUMISHI WENZAKE

WASILAZIMIKE KUTOA SIRI KUHUSU MUATHIRIKA.

• TAARIFA KUHUSU ALIYEATHIRIKA NI SIRI

(20)

ELIMU YA UKIMWI MAHALA PA

KAZI

8. KUENDELEZA MAHUSIANO YA KIKAZI MAHALI PA KAZI

• KUATHIRIKA NA UKIMWI SIO SABABU YA KUFUKUZWA KAZI.

• KAMA MAGONJWA MENGINE

MUATHIRIKA ANAWEZA KUENDELEA KUFANYA KAZI YAKE KAMA AFYA

(21)

ELIMU YA UKIMWI MAHALA PA

KAZI

• MUHIMU NI KUSISITIZA KUWA

WAATHIRIKA WAIMARISHE LISHE NA TIBA KWA MAGONJWA

YANAYONYEMELEA MIILI YAO

• JUMUIYA MAHALI PA KAZI IENDELEZE MAHUSIANO YANAYOFAA KWA

(22)

ELIMU YA UKIMWI MAHALA PA

KAZI

9. KUJIKINGA NA UKIMWI • UKIMWI UNAZUILIKA

• KUZUIA AINA ZOTE ZA MAAMBUKIZI KUNAWEZEKANA KWA MBINU

MBALIMBALI,

• KUZUIA/KUJIKINGA NA UKIMWI KUNAWEZEKANA KWA KUBADILI

TABIA,MAARIFA,TIBA NA KUEPUKA MAZINGIRA YA UNYANYAPAA

(23)

ELIMU YA UKIMWI MAHALA PA

KAZI

• WENZA KATIKA JAMII WANA NAFASI YA PEKEE KATIKA KUIMARISHA JITIHADA ZA KUZUIA UKIMWI HASA KWA KUBADILISHA

MAONO(ATTITUDES) NA TABIA KWA KUPITIA UPATIKANAJI WA TAARIFA NA ELIMU KATIKA KUKABILI MAZINGIRA YA KIUCHUMI NA

KIJAMII

• WANAJAMII MAHALI PA KAZI SHAURIANENI JINSI HALISI YA KUZUIA NA KUKINGA

(24)

ELIMU YA UKIMWI MAHALA PA

KAZI

10. KUTUNZA NA KUSAIDIA(CARE AND SUPPORT)

• UMOJA, MATUNZO NA KUSAIDIA KUNAPASWA KUONGOZA KATIKA

MKAKATI WA KUZUIA UKIMWI KATIKA DUNIA YA KAZI

(25)

ELIMU YA UKIMWI MAHALA PA

KAZI

• WAFANYAKAZI WOTE PAMOJA NA

WAATHIRIKA WANASTAHILI HUDUMA ZA AFYA. KUSIWEPO UBAGUZI KWAO NA WANAOWATEGEMEA KUPATA HAKI WANAZOSTAHILI

• IPO HAJA YA MSINGI

KUSAIDIANA,KUTUNZANA,KUPEANA MOYO NA KUSHAURIANA KUHUSU SUALA LA UKIMWI

(26)

ELIMU YA UKIMWI MAHALA PA

KAZI

KUJIKINGA DHIDI YA UKIMWI KWA NJIA YA ELIMU NA HABARI

• HABARI NA ELIMU YA UKIMWI MAHALI PA KAZI NI MUHIMU ILI KUZUIA

KUENEA KWA UGONJWA HUU • ELIMU YA UKIMWI SAHIHI NA

MADHUBUTI ITACHANGIA UWEZO WA WATUMISHI KUJIKINGA DHIDI YA

(27)

ELIMU YA UKIMWI MAHALA PA

KAZI

• ELIMU MADHUBUTI ITACHANGIA KUONDOA WOGA, UNYANYAPAA,UHARIBIFU MAHALI PA KAZI NA KULETA MABADILIKO YA TABIA • MIPANGO YA ELIMU YA UKIMWI

ITENGENEZWE KWA USHIRIKIANO KATI YA SERIKALI ,MWAJIRI NA WAFANYAKAZI ILI KUHAKIKISHA USHIRIKI,KUKUBALIANA NA KUUNGWA MKONO

(28)

ELIMU YA UKIMWI MAHALA PA

KAZI

• KUWEPO KWA MFUMO WAZI WA

HABARI NA UTAMADUNI WA KUPEANA TAARIFA ZA MARA KWA MARA

KUHUSU MKAKATI WA KUJIKINGA NA UKIMWI NA UTEKELEZAJI WA

MAAZIMIO KUHUSU JANGA HILI MAHALI PA KAZI.

(29)

ELIMU YA UKIMWI MAHALA PA

KAZI

• UKIMWI NI TATIZO LILILOPO NA LINALOENDELEA KUONYESHA

BAYANA TAATHIRA ZAKE. HIVYO

PASIWEPO WAKATI AMBAPO SUALA LA UKIMWI HALIZINGATIWI KATIKA MIPANGO YA KILA SIKU MAHALI PA KAZI

• TUSINYAMAZE NA TUSITOE MWANYA TUPAMBANE

(30)

ELIMU YA UKIMWI MAHALA PA

KAZI

MIPANGO YA ELIMU YA UKIMWI IZINGATIE:

I KAMPENI ILIYOPANGWA YA

KUONGEZA KIASI CHA HABARI NA

ELIMU YA UKIMWI KWA WAFANYA KAZI 2. MIPANGO YA ELIMU YA UKIMWI

ENDELEVU ITILIE MKAZO YAFUATAYO: • MIKAKATI YA ELIMU YA UKIMWI

(31)

ELIMU YA UKIMWI MAHALA PA

KAZI

• UWEZEKANO WA RATIBA YA UKIMWI WAKATI WA KAZI

• WAFANYAKAZI KUTAMBUA TABIA ZA HATARI ZAIDI MAHALI PA KAZI

WAFANYAKAZI WATAMBUE HATARI ZINAZOWAKABILI KAZINI

• ELIMU KUHUSU KUENEA KWA UKIMWI KUPITIA KUJIDUNGA SINDANO NA

(32)

ELIMU YA UKIMWI MAHALA PA

KAZI

• ELIMU YA UKIMWI KWA WANAWAKE NA VIJANA ISISITIZWE

• WAFANYAKAZI WAPATE NAFASI YA KUJIELEZA KWA UWAZI

• MATUMIZI SAHIHI YA KONDOM • MSISITIZO WA ELIMU YA RIKA

(33)

ELIMU YA UKIMWI MAHALA PA

KAZI

MIPANGO YA ELIMU YA JINSIA

• MIPANGO YOTE IWE NA HISIA ZA KIJINSIA

• MIPANGO IWASAIDIE WANAUME NA WANAWAKE

• WAFANYAKAZI WAKE KWA WAUME

(34)

ELIMU YA UKIMWI MAHALA PA

KAZI

KUWEPO NA MAHUSIANO NA MIPANGO YA AFYA

• MIPANGO YA ELIMU YA UKIMWI

IHUHISHWE NA MIFANO HALISI YA

KUUNGA MKONO KUBADILISHA TABIA • HAKIKISHA KONDOM ZA KIKE NA ZA

(35)

ELIMU YA UKIMWI MAHALA PA

KAZI

• TIBA YA MAGONJWA YA KUAMBUKIZA KAMA KIFUA KIKUU YA BAINISHWE NA KUTIBIWA AU WAELEZWE MAHALI PA KUPATA MATIBABU

• WAFANYAKAZI WASAIDIWE

KUONGEZA KIPATO MFANO, KUWEKO NA UTARATIBU WA KUWEKA NA

(36)

ELIMU YA UKIMWI MAHALA PA

KAZI

MIPANGO KATIKA JAMII(COMMUNITY OUTREACH PROGRAMS)

• MIPANGO YA ELIMU YA UKIMWI IWE

MAHALI PA KAZI NA KATIKA JAMII, HALI HII IWAPE NAFASI WANAJAMII

KUBADILISHANA MAWAZO NA

KUPUNGUZA UTENGANO KATI YA JAMII NA WAFANYAKAZI MAHALI PA KAZI

• MIPANGO HII IWE YA PAMOJA KATI YA UONGOZI MAHALI PA KAZI NA

(37)

ELIMU YA UKIMWI MAHALA PA

KAZI

MAFUNZO YALENGE

• MAKUNDI YOTE YA WAFANYAKAZI MAHALI PA KAZI MAKUNDI YOTE YA WAFANYAKAZI YAHUSISHWE

(38)

ELIMU YA UKIMWI MAHALA PA

KAZI

MAFUNZO KWA VIONGOZI WAKUU

• WAELEKEZWE KUHUSU SERA YA UKIMWI ILI WAELEZE VIZURI ELIMU YA UKIMWI NA

KUWASHAURI VIZURI WAFANYAKAZI

KUONDOKANA NA TAARIFA ZISIZO SAHIHI • WAWEZE KUMUDU TABIA ZA WAFANYAKAZI

MHALI PA KAZI KUHUSU UKIMWI

(39)

ELIMU YA UKIMWI MAHALA PA

KAZI

MAFUNZO YA RIKA

• WAKUFUNZI WA ELIMU YA RIKA

WAPATE MAFUNZO MAALUM MAHALI PA KAZI

• WAWE NA UJUZI NA MAARIFA YA

KUTOSHA KUHUSU ELIMU YA UKIMWI • WAWE NA MAARIFA KUHUSU USHAURI

(40)

ELIMU YA UKIMWI MAHALA PA

KAZI

MAFUNZO KWA WAWAKILISHI WA WAFANYAKAZI

WAFANYAKAZI WAPATE ELIMU KUHUSU UKIMWI MAHALI PA KAZI ILI:

• WAFAHAMU SERA YA UKIMWI • WAWEZE KUELIMISHA

(41)

ELIMU YA UKIMWI MAHALA PA

KAZI

• WAWEZE KUWAKILISHA

WAFANYAKAZI WENZAO VIZURI KATIKA MIPANGO YA ELIMU YA UKIMWI KWINGINEKO

• WAWEZE KUWAPA USHAURI NASAHA WENZAO ILI WAEPUKANE NA HATARI ZA UKIMWI

(42)

ELIMU YA UKIMWI MAHALA PA

KAZI

MAFUNZO KWA WAFANYAKAZI WOTE

• MAFUNZO YA ELIMU YA UKIMWI YAWAFIKIE WAFANYA KAZI WOTE

• UWEPO UTARATIBU MAALUM NA MPANGO WA UTEKELEZAJI WA ELIMU YA UKIMWI

KWA WOTE WAKATI WA KAZI

• IWEPO RATIBA MAALUM INAYOHUSU

UTEKELEZAJI WA MASUALA YAHUSUYO UKIMWI

(43)

ELIMU YA UKIMWI MAHALA PA

KAZI

KUPIMA UKIMWI KWA HIARI

• KUPIMWA KWA HIARI KUWE KWA SIRI HATA KAMA NI NJE YA MAHALI PA KAZI • KUPIMA KWA HIARI KUSIFANYIKE

MAHALI PA KAZI

• WAFANYAKAZI MAHALI PA KAZI

WASHAURIWE KUPIMA KWA HIARI NA WAKUMBUSHWE KUWA NI MUHIMU

(44)

ELIMU YA UKIMWI MAHALA PA

KAZI

MATUNZO NA KUSAIDIANA(CARE AND SUPPORT)

• UMOJA MATUNZO NA KUSAIDIANA NI VIGEZO MUHIMU VINAVYOONGOZA SEHEMU ZA KAZI

• MAZINGIRA YATENGENEZWE KWA AJILI YA UWAZI

(45)

ELIMU YA UKIMWI MAHALA PA

KAZI

ULINGANIFU NA MAGONJWA MENGINE • UKIMWI UHUDUMIWE KAMA

MAGONJWA HATARI MENGINE • WAATHIRIKA WA UKIMWI

WATENDEWE KAMA WENZAO

WANAOUMWA MAGONJWA HATARI MENGINE

(46)

ELIMU YA UKIMWI MAHALA PA

KAZI ELIMU YA UKIMWI MAHALA

PA KAZI

USHAURI NASAHA

• WAAJIRI WAWATIE MOYO WAATHIRIKA KWA KUPEWA USHAURI NASAHA

• USHAURI NASAHA UPATIKANE BILA GHARAMA YOYOTE

• USHAURI NASAHA UFAHAMISHE JUU YA HAKI ZAO, WAJIBU WAO,NAFASI YAO

KATIKA KUPAMBANA NA JANGA LA UKIMWI ILI WAJIREKEBISHE DHIDI YA ATHARI ZA

(47)

ELIMU YA UKIMWI MAHALA PA

KAZI

KAZI NA HUDUMA

• WAAJIRI WENGINE WANAWEZA KUWA KATIKA NAFASI YA KUWASAIDIA

WAATHIRIKA KATIKA MATIBABU

• MISAADA INAWEZA KUTOLEWA ILI KUWAWEZESHA WAPATE CHAKULA

BORA, WAPUNGUZE MGANDAMIZO WA MAWAZO

(48)

ELIMU YA UKIMWI MAHALA PA

KAZI

MAFAO

• WAATHIRIKA WAPATE MAFAO KAMA WENZAO WAWAPO KAZINI NA NJE YA KAZI

• WAAJIRI WAANGALIE UWEZEKANO WA KUWAPA MAFAO WAATHIRIKA

(49)

ELIMU YA UKIMWI MAHALA PA

KAZI

USALAMA KATIKA JAMII

• SERIKALI,WAAJIRI NA VYAMA VYA WAFANYAKAZI VIHAKIKISHE

WAATHIRIKA NA FAMILIA ZAO

WANAONGELEWA KATIKA MIPANGO YA USALAMA KATIKA JAMII

• MPANGO WA USALAMA KATIKA JAMII UWE SAWA KWA WAATHIRIKA NA

(50)

ELIMU YA UKIMWI MAHALA PA

KAZI

HITIMISHO

• ELIMU YA UKIMWI MAHALI PA KAZI NI MUHIMU. ELIMU HIYO ITAWAPA

WAFANYAKAZI MAARIFA, STADI, NA

MAONO SAHIHI, HIVYO WAFANYAKAZI WANAKUSUDIWA KUBADILI TABIA ILI KUJIKINGA NA UKIMWI.

(51)

ELIMU YA UKIMWI MAHALA PA

KAZI

• ELIMU YA UKIMWI MAHALI PA KAZI INAWAWEZESHA WAFANYAKAZI

KUZINGATIA MIHIMILI MUHIMU KUWA NA UHAKIKA WA ELIMU NA HABARI ZA UKIMWI,MAFUNZO,UFAHAMU WA

KUPIMA KWA HIARI, MATUNZO NA KUSAIDIA WAATHIRIKA. AIDHA

WAFANYAKAZI WATAKUWA CHACHU KATIKA KAMPENI YA KUKINGA NA

(52)

ELIMU YA UKIMWI MAHALA PA

KAZI

Referensi

Dokumen terkait

Na Moh’d (2013) alichunguza juu ya matumizi ya lugha katika kuandika ujumbe mfupi katika simu za kiganjani nchini Tanzania. Lengo lake kuu lilikuwa ni kuchunguza matumizi

Katika kutekeleza azma hiyo, mtafiti ameona ni vema afanye utafiti huu juu ya mashairi ya Bi Madina Ali-Buhriy ambaye kazi zake hazijaingizwa katika mijadala

Kutokana na ukuaji mkubwa wa mawasiliano katika ulimwengu wa sasa, kumekuwa na athari pia za matumizi ya lugha. Kwa mfano katika lugha ya Kiswahili, matumizi ya Kiswahili

Matumizi ya takriri yanajitokeza katika methali nyingi za jamii ya Kisimbiti kutokana na hali halisi kwamba methali hutumika katika kusisitiza mambo muhimu katika maisha

Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa ni kufanya tathmini ya mwingilianomatini katika utunzi wa Emmanuel Mbogo kwa kulinganisha tamthiliya ya Ngoma ya Ng’wanamalundi (1988)

Inakadiriwa kuwa katika mkoa wa Shinyanga kiwango cha “ujinga” kinafikia 35%, Kuwepo kwa kiwango kikubwa cha ujinga na kutokuwa na elimu ya stadi za maisha katika jamii

Katika jamii ya wajita, majina ya asili hutolewa yakiwa na lengo la historia na matukio mbalimbali yaliyotokea kwa mtu mmoja mmoja au jamii, kwa mfano jina Nyabhita

Idara ya Huduma za Wanawake ipo kwa ajili ya kuunga mkono, kutia moyo, na kutoa changamoto kwa wanawake Waadventista wa Sabato katika mwenendo wao wa kila siku kama wanafunzi wa