• Tidak ada hasil yang ditemukan

Mafunzo kwa Wafanyakazi wa Wakala wa Majengo

N/A
N/A
Protected

Academic year: 2021

Membagikan "Mafunzo kwa Wafanyakazi wa Wakala wa Majengo"

Copied!
35
0
0

Teks penuh

(1)

MAFUNZO KWA WAFANYAKAZI

WA WAKALA WA MAJENGO

ELIMU KWA

MUELIMISHAJI;YATAMBUE HAYA KABLA HUJAANZA MAJADILIANO

Kuishi na UKIMWI si jambo rahisi kwa sababu ni kitu kinachotia hofu kubwa miongoni mwa jamii

(2)

MAFUNZO…

1. Inaweza kumpa hisia mgonjwa ndio mwisho wa maisha yake kwa kutoweza kuyakabili maisha endapo tu atajuwa ana tatizo

Inaweza kumfanya mtu awe na

wasiwasi kuhusu uwezo wake wa

(3)

MAFUNZO…

• 2. kuanza kuogopa kifo na kumpelekea • kutokupenda kazi, kutokuwa na

matumaini,

• kukata tama na kuamini kuwa maisha hayana thamani tena

• na kuamua hata kujiua au kuambukiza watu wengine kwa makusudi nife na

(4)

MAFUNZO…

• Ila kwa kupata elimu sahihi haya yote hayatakuwepo

• Mtu ataishi maisha ya kawaida endapo atafika katika vituo vya tiba na kupata tiba sahihi

• Ikiwemo kutibu magonjwa nyemelezi,

dawa za kupunguza makali ya ongezeko la virusi na kuongeza kinga ya mwili.

(5)

Ukimwi mahali pa kazi

• Kudhibiti maambukizo ya maradhi ya

ngono

• Utangazaji na usambazaji wa kondomu • Unasihi na upimaji wa hiari wa UKIMWI

• Uzuiaji wa uambukizo wa VVU kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto

• Watu wawe wazi, wasaidiwe na

wasaidiane, sheria, kanuni na taratibu za kazi zijulikane na zifuatwe

(6)

Ukimwi mahali pa kazi

• Kila mtu afahamu haki zake za ajira na gharama za matibabu zinazotolewa na mwajiri.

• Unyanyasaji unatokana na kutofahamu ukweli kuhusu ukimwi

• Kuwaelimisha wafanyakazi wenzako kutawasidia kujifunza kuishi na watu

wenye virusi vya UKIMWI kwa UTU na ni njia mojawapo ya kupunguza

(7)

Mambo muhimu ya kufahamu

• 1 Ukweli kuhusu ukimwi

• VVU vinavyoshambulia kinga ya mwili na athari zake

• Umuhimu wa kujua afya yako

• Magonjwa nyemelezi yanayohusiana na UKIMWI

• Njia za maambukizi na imani potofu • Matibabu ya Mgonjwa wa UKIMWI

(8)

Lishe Bora

• -Umuhimu wake

-Aina ya lishe bora • Afya na usafi

-Mwili, mavazi na malazi

-Kuimarisha afya ni pamoja na mabadiliko ya tabia kwa makundi maalum ya watu

(9)

Kujamiana

Ni hatua muhimu katika mapambano dhidi ya UKIMWI

• Unatakiwa kufikiri nini unapokutana kimwili • Uanze vipi kulinda afya yako, kwa kujipima

au kwa kujiamini

• Je kutumia kondom ni kutoaminiana • Tabia zipi hazina usalama

• Ufanyeje ukitaka kufunga ndoa? • Magonjwa ya zinaa na athari zake

(10)

Kujali familia

• Ni pamoja na kuongea nao kuhusu afya yako

• Kama ni muathirika lazima uwe wazi kwao • Uiandaaje familia wakati wa matatizo

• Nani ashirikishwe na nani wa kutoa msaada

• Kujiunga na vikundi mbalimbali vya

wanaoishi na VVU kama vile SHIDEPHA ( SERVICE HEALTH AND DEVELOPMENT FOR PEOPLE LIVING WITH HIV/AIDS)

(11)

Jamii na uchumi

• Jishughulishe katika kuongeza kipato

• Usiwe mnyonge wa mawazo na fikra duni za kusaidiwa tu

• Jiunge katika vikundi mbalimbali vya wajasiria amali

• Pata ushauri mbalimbali kwa ndugu ,jamaa na marafiki

(12)

Mirathi na wosia

• Matayarisho kwa watu wote

• Sajili kihalali uliza na fuata taratibu • Ndoa na rasilimali, watoto, wake • Nini cha kuandika

(13)

MAISHA KWANZA

• WEWE BINAFSI

• Familia • Marafiki

• Wengine walioathirika na VVU • Jamii kwa ujumla

• Dini na imani zina nafasi yake katika

kumuweka sawa mgojnwa wa UKIMWI, kwa kiwango gani na kitu gani ni muhimu kuzingatiwa katika maisha

(14)

Dira ya taifa

• (Tanzania bila ya UKIMWI inawezekana) -Kuwa na jamii ambayo watoto wetu

waweza kukua bila ya tishio la VVU na UKIMWI

-Kuwajali na kuwasaidia ambao

wameambukizwa na kuathiriwa na VVU na UKIMWI

-kuweka mikakati ya pamoja , ikiwemo mafunzo elekezi

(15)

UKIMWI

• Kifupisho cha maneno:-

• Upungufu Wa Kinga Mwilini

• Mkusanyiko wa magonjwa yanayotokana na kudhoofika kwa nguvu za kinga ya

mwili kujikinga na maradhi • Kunakosababishwa na V V U

(16)

Virusi Vya UKIMWI (VVU)

• Ni vimelea vidogovidogo,

vinavyodhoofisha na kufanya mwili

kupoteza uwezo wake wa kupambana na maradhi

• Kawaida miili yetu hukingwa dhidi ya maradhi na chembechembe nyeupe za damu (WBC)

• VVU vikiingia mwilini hushambulia

(17)

Virusi Vya UKIMWI (VVU)…

• Vinapatikana katika damu

• Majimaji mbalimbali yanayotoka kwenye mwili

• Na viungo vya uzazi vya wanawake na wanaume wenye maambukizo

• Njia kuu ya kueneza virusi hivi,hasa katika Bara la Afrika

(18)

Virusi Vya UKIMWI (VVU)…

• Njia nyingine

-ni kutoka kwa mama mjamzitomwenye VVU kumwambukiza mtoto wakati akiwa tumboni

-au wakati wa kumnyonyesha

• Pia huambukizwa kwa kuongezewa damu yenye virusi hivyo

• Kuchangia vifaa vyenye mabaki ya damu kama sindano, mikasi, wembe n.k

(19)

Njia zifuatazo haziambukizi VVU

• Kushikana mikono na mtu mwenye VVU • kuishi pamoja na mtu mwenye VVU

• Kushiriki kula chakula pamoja na mtu wa VVU

• Kugusana au kukumbatiana na mwenye VVU

• Kushirikiana bafu na mwenye VVU

• Kuumwa na mbu, viroboto au wadudu wengine

(20)

Dalili za UKIMWI

• Hakuna njia ya hakika ya kutambua mtu aliyeambukizwa VVU zaidi ya vipimo vya maabara

• Watu wanaoishi na VVU wanaweza

kuonekana wazima na wasionyeshe dalili zozote za ugonjwa

• Hata hivyo pamoja na kutokuonyesha dalili zozote

(21)

Virusi Vya UKIMWI (VVU)…

• Mtu huyu mwenye VVU anaweza

kuambukiza watu wengine ikiwa atakuwa na mahusiano yasiyo salama

• UKIMWI ni hatua ya mwisho ya maambukizi ya VVU

• Hatua hii ikifikiwa

• Mwathirika huanza kushambuliwa na

(22)

Dalili za UKIMWI

• Kupungua uzito asilimia 10 au zaidi katika mwezi mmoja, bila sababu inayoeleweka • Kuharisha muda mrefu (mwezi 1au zaidi) • Homa za mara kwa mara

• Utando mweupe mdomoni • Kikohozi cha muda mrefu • Mkanda wa jeshi

(23)

Dalili…

• Vipele sugu, vyenye kuwasha hasa mikononi na miguuni

• Mgonjwa akiwa na dalili zaidi ya tatu • Uwezekano wa kuwa na UKIMWI ni

mkubwa

Hata hivyo

• vipimo vya maabara vinahitajika kuthibitisha ugonjwa wa UKIMWI

(24)

Jinsi ya kuzuia maambukizi ya VVU

• Ni muhimu jamii ielimishwe umuhimu wa kupima afya zao na kuchukua hatua

zinazostahili;

• 1. jinsi ya kuzuia maambukizi ya vvu yanayotokana na kujamiiana

-kutokujamiiana kabisa (kugunga, abstinence)

-kuwa na mpenzi mmoja muaminifu na asiye na uambukizo (be faithful)

(25)

Njia za kuzuia……

-Kujamiiana kwa kutumia kondomu ya kike au ya kiume kwa usahihi na wakati wote

• 2. Jinsi ya kuzuia maambukizi kwa mtoto mchanga

-wanawake wajawazito na waume zao

wahudhurie kliniki ili kupima na kufahamu afya zao

(26)

Njia za kuzuia……

• Wanawake wanaobainika kuwa na VVU hupatiwa maelekezo jinsi ya kumkinga mtoto kupata maambukizi kwa njia ya dawa za ART

• Kuhimiza kujifungulia hospitali ili mtoto apatiwe dawa za kumkinga na

maambukizi mara tu anapozaliwa

• Ushauri kuhusu muda wa kunyonyesha na lishe mbadala

(27)

Njia za kuzuia……

• Jamii kwa ujumla ishirikishwe kutoa

msaada wa hali na mali

• kuwawezesha wakina mama

walioambukizwa VVU kutimiza masharti ya kuzuia maambukizi

(28)

Njia za kuzuia……

• Jinsi ya kuzuia maambukizi ya VVU wakati wa kutoa huduma

-watoa huduma wawe waangalifu wakati wa kuwahudumia wagonjwa na kuzingatia mambo yafuatayo

-kuvaa mipira ya mikononi endapo mtoa huduma au mpokea huduma ana

(29)

Njia za kuzuia……

• Kuvaa mipira kabla ya kugusa nguo au vifaa vyenye damu, matapishi, mkojo au

kinyesi cha mgonjwa na mgonjwa aelezwe kabla ya kufanya hivyo

• Nguo au vifaa vyenye damu au maji maji mengine ya mgonjwa

• Viwekwe kwenye maji ya moto

(30)

Njia za kuzuia……

• Vilowekwe kwenye JIC kwa dakika 20-30 kabla ya kufua/kuosha

• Mhudumu afue/asafishe vifaa hivyo akiwa amevaa mipira ya mikononi

• Taratibu za kutuma mabaki yasiyohitajika yafuatwe ,kuchoma au kutumbukizwa

(31)

Njia za kuzuia……

• Viffa vyenye ncha kali vilivyotumika wakati wa kumhudumia mgonjwa wa UKIMWI na • Ambavyo vinaweza vikatumika tena

vilowekwe kwenye JIC halafu vichemshwe • Vile ambavyo havitatumika tena,

vitumbukizwe kwenye choo cha shimo

• Mhudumu aoshe mikono kwa sabuni kabla na mara baada ya kumuhudumia mgonjwa

(32)

Njia za kuzuia……

Ni muhimu wahudumu wapime nakufahamu afya zao, ili kujiweka

katika mazingira mazuri ya kujikinga na maambukizi ya VVU

(33)
(34)
(35)

MUELIMISHAJI

AHSANTENI KWA KUWA

PAMOJA KATIKA MAPAMBANO

DHIDI YA UKIMWI

Referensi

Dokumen terkait

Matokeo katika jedwali namba 4.2 hapo juu yanaashiria kwamba,walimu wanapata athari kwa kutofundishia kiswahili katika shule za sekondari.Athari hizo ni Kushuka kwa ubora

Muhtasari wa somo la Kiswahili (2016:2), ufundishaji wa somo la Kiswahili katika elimumsingi umelenga kumwezesha mwanafunzi, kuzungumza, kusikiliza, kusoma na kuandika kwa

Utafiti umedhihirisha uwepo wa istilahi zaidi ya moja kwa dhana moja, sababu za kuzuka kwake na athari yake kwa wanafunzi wa Kiswahili. Aidha utafiti

Nitoe rai kwa wadau wote kushirikiana na kulitumia Baraza katika kuratibu, kutetea na kuwafikia WAVIU pale walipo katika mwitikio wa kitaifa wa shughuli za UKIMWI

Inakadiriwa kuwa katika mkoa wa Shinyanga kiwango cha “ujinga” kinafikia 35%, Kuwepo kwa kiwango kikubwa cha ujinga na kutokuwa na elimu ya stadi za maisha katika jamii

i) Mafunzo ya siku 5 ya kuendeleza elimu rika katika maeneo yenye kasi kubwa ya maambukizo Mbeya Mjini/Vijijini yaliyoenda sambamba na mkutano wa uhamasishaji kwa wamiliki

Mang’ombe (ng’ombe weng) Hili ni jina analopewa mtoto wa kiume na wazazi wake kama kiashirio cha kuwa mtoto huyo ametoka katika familia. ambayo ni wafugaji wakubwa wa

Kanisa ni jumuiya ya waumini wanaomkiri Yesu Kristo kama Bwana na Mwokozi. Sambamba na watu wa Mungu wakati wa Agano la Kale, tunatakiwa kutoka ulimwenguni; na kuungana pamoja