Hi fadhi ya m aj i / Vyanzo vya m aj i
Shughuli za kilimo kando kando ya mt o
Acha eneo la akiba kat i ya mt o/ ziwa na eneo la kilimo angalau mit a 6.
Hi fadhi ya m aj i / vyanzo vya m aj i
Kuosha nguo ndani ya mt o Shimo la maji t aka
Hi fadhi ya m aj i / vyanzo vya m aj i
M it i isiyo ya asili jirani na vyanzo vya maji
Upandaji wa mit i ya asili na kutosumbua uoto wa asili jirani na mito / maziwa
Af ya na usalam a
Kut umia madawa ya kilimo bila vifaa vya kinga
Ut umiaji vifaa vya kinga unapochanganya/ kunyunyiza madawa ya kilimo
Af ya
M adawa ya kilimo kwenye
nyumba/ vyumba vya kulala / kuishi
St oo ndogo za kuhifadhia madawa kwa njia ya usalama
Utupaj i taka taka
Uchomaji wa t aka t aka Tenganisha t aka t aka kwa kuchimba mashimo maw ili kwa ajili ya t aka t aka zinazooza na t aka t aka za plast iki
Utupaj i takataka
Vikopo vilivyozagaa hovyo Vikopo t upu vilivyohifadhiwa kwa usalama vikisubiri kut upwa
Hi fadhi ya udongo
Udongo unahamishwa kupit ia mmomonyoko
Udhibit i wa mmomonyoko kw enye mit eremko na kingo za mt o
Uangali f u kwenye m atum i zi ya m adawa ya ki li m o
Jiepushe na madawa hat ari yenye mkanda mwekundu
Punguza matumizi ya madawa salama ya kilimo (yenye mkanda wa kijani)
Ustawi wa wafanyakazi
Wafanyakazi wasio na furaha shambani
Wafanyakazi w enye furaha shambani